MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Inaitwa deadlockLeo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Upo sahihi, yanayoendelea huko ni hatari, Dodoma yote ipo Dar leoHata Lodge leo bila kufanya booking mapema ni kizaa zaa
Kunani wajameni?Upo sahihi, yanayoendelea huko ni hatari, Dodoma yote ipo Dar leo
Dodoma inakuwa Dar kila IjumaaKunani wajameni?
🤣🤣🤣Dodoma inakuwa Dar kila Ijumaa
kuna msiba kigamboniLeo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Hiyo ngoma mpaka MisugusuguLeo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Mkuu sio huko tu, hata njia ya mbezi shule tokea huko bunju na goba ni foleni muda woteLeo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Leo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Tuwekee fees kuingia mjini huu ujinga haitakuwepo mkuuLeo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
NyeupeUmevaa sketi rangi gani?
Umevaa sketi rangi g
Hivi gari ni indicator ya utajiri?Nchi imekuwa tajiri, kila mtu kanunua gari.. Foleni ni kielelezo cha Utajiri.
CCM Oye!