Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Hayo mapori ndio mazuri unless yawe ni mapori tengefu.
 
Acha uongo wewe,Songea sio Mji mdogo hata kidogo.
 
Harafu limtu la mikoa inayojipendelea linaropoka Lindi kubaya kumbe hakuna barabara kama huko kwao na Sio juhudi zao kujenga bali serikali iliwajengea.
 
Yaah..lindi wana fukwe nzuri sana safi na zina vutia..ila ndio hivyo tena kumenyata sana.

#MaendeleoHayanaChama
Ni suala la mda tuu,hiyo ni biashara ya wenye pesa,kadiri uchumi unavyoimarika pesa zitamwagika Lindi kwenye beach tourism na baadae mtaipenda maana ndio utakuwa Mji mpya wakati huko kwenu tayari ni magofu.
 
Maeneo kama hayo Huwa napenda sana ndio yanaweza kukufanya tajiri maana fursa hasa ardhi inapatikana Kwa bei nafuu.
 
Utalii tuu utaivusha bila hizo mbwbwe zingine..

Zanzibar inaendesha uchumi Kwa utalii tena wa beaches na Lindi ina beach nzuri kuliko hata Zanzibar,ni suala la mda tuu .
 
Huku ndiko kwa kwenda kukamatia fursa ,ni mkoa mzuri Wilaya zake zote zina fursa ya kila aina..

Lindi yenyewe na Mafia kuna beaches za kuzidi hadi Zanzibar wakasome.
Sio rahisi , ila kajaribu,
Ili uweze kukamatia fursa ni lazima man power iwe active
Lindi ina vijana wavivu kwa kuwa wanategemea uvuvi, wana miembe na mikorosho. Kijana wa lindikehaokota dodo zake nne amefunga kwe ye pakacha anauza elfu tatu, !! Humtumi chochote ,sana sana anasubiri msimu wa korosho
 
Usikariri maisha wewe ngumbaru..

Mumerundikana huko Dar basi mnajua watu wote wanapata shida kama nyie,kila kitu mnalalamika na ushamba juu.

Hii hapa ni Kigoma. πŸ‘‡
 

Attachments

  • _airplane_️ Drone Footage - Kigoma Tanzania _tz_ ( 1080 X 1920 ).mp4
    35.3 MB
Mimi shida yangu ni Ardhi hayo mengine najua cha kufanya.
 
Endelea kujidanganya Tu.

Bakhrresa kila mwezi anapeleka mabehewa kadhaa ya products Zake huko monthly wewe endelea kupiga sPana za spare parts

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Endelea kujidanganya Tu.

Bakhrresa kila mwezi anapeleka mabehewa kadhaa ya products Zake huko monthly wewe endelea kupiga sPana za spare parts

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hahahahah sasa wewe unajifanisha na bhakresa? Mbona wewe hupeleki hayo mabehewa kama ni jambo rahisi mzee😁😁😁 au hutaki hela?
 
Bila kusahau maji ya chumvi mwili unanata utafikir umepaka ulimbo hata ulale guest ya elf40 hali iyoiyo, Lindi [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…