Jambo ambalo wengi hawalijui maendeleo ya mkoa siku zote inatokana na 'promosheni' ya serikali kuelekeza miradi yote ya kimaendeleo katika mkoa husika,hivi katika hii nchi kuna mikoa yenye ukame na watu wake masikini katika hii nchi tofauti na Dodoma au singida? ila ona serikali imeelekeza miradi ya kimaendeleo katika hiyo mikoa leo inaonekana ya maana kuliko Lindi;Dodoma imehamishiwa serikali,kumejengwa vyuo vikubwa vingi...
Singida pia wamejenga ndaki nyingi za vyuo kama vile uhazili,chuo cha uhasibu n.k
Sasa nashangaa shoga mmoja anakuja hapa kulalama kwamba Lindi hawana barabara nzuri mara ooh sijui Lindi pakame, mara hawana chuo,sijui mzunguko wa hela mdogo sasa hayo yote ni wajibu wa raia au serikali?
Matumaini yangu: kama serikali itaipa Lindi kipau mbele kwa kuipelekea miradi ya kimaendeleo kama vile bandari,vyuo,na miradi mingine mingi ya kimaendeleo basi itapiga hatua kubwa mno kwani fursa zipo nyingi sana katika huu mkoa.
Watu wa bara mnatusumbua sana ila huku kwenu hakuna jipya,uchawi upo,roho mbaya,kuuana hovyo ndugu zenu hawataki kusoma bali wamekalia kuchunga mifugo na kuolewa mapema.Hadi wa leo mnafanya barter trade yani unapata mke kwa ng'ombe au mbuzi kadhaa.[emoji23]
#mafwalanyinyi!