Mkuu "Sijaona" najua kwenu Lindi. Lakini huo ndio ukweli. Acha usemwe.
🤣🤣🤣🤣🤣
Hata sina lengo la kubisha yote uliyosema na yasemwayo.......akitokea mwingine akasema kwetu mafia au mtwara sitomkatalia pia. Kinachonishangaza mimi ni ile hali ya , mimi mwenyewe, kushuhudia maeneo yaliyochoka km lindi au zaidi na yenye desturi za ajabu kupindukia lakini hata huoni watu wakizisema sehemu hizo!!!
1. Hivi lindi kuna uchawi kweli kushinda maeneo 'fulani'?!!!!! Kweli watu sisi tuna Mungu na imani?!!!!!!
2. Kuna mjumbe mmoja hapo juu alijaribu kueleza vizuri tu (kihistoria na sera) ni vp lindi iliweza kung'ara zamani wakati waswahili (km inavyoshupaliwa na wadau wengi humu) ni walewale? Ameongezea pia mfano wa Kigoma jinsi ilivyong'ara enzi za wajerumani na ilivyokuwa; hakuna jibu bali muendelezo wa mashambulizi.
3. Narudia, nimewahi kuishi sehemu unaweza ukamchukua mdogo na dada yake au jirani yake na wazazi wakawa wanajua na hakuna tatizo lolote lile. Tena ukiachana na huyo, km ni katili wa kutosha, unaweza hata kumchukua mama yake na wala hakuna shida. Ajabu unatajwa urahisi wa upatikanaji wanawake huko lindi tu.
Nimeishi lindi zaidi ya miaka 6 nikizunguka maeneo ya mchinga, lindi yenyewe, mtama, nyangao hadi kule juu....mandwanga, chiuta n.k. Ninaapa, huku nimeshuhudia mdada wa kigeni kutoka 'kulikoendelea' tena akiwa ni msomi tu, akibanduliwa hadi na wanafunzi wake huku akiwa ni mke wa mtu.
Ninaapa, nimemshuhudia dada (mwalimu) kutoka 'kulikoendelea' akiliwa, bila aibu, na watumishi wenzake karibu kata yote....yaani hadi kichefuchefu.
Ninaapa, nimemshuhudia nesi kutoka 'kulikoendelea' akiliwa na watumishi na raia ndani na nje ya kata yake hadi kichefuchefu. Hao wamesoma na wapo ugenini tena ugeni wa sehemu 'iliyochoka', vipi huko watokako hali ipoje?!!! Leo unataka uniambie umalaya upo lindi tu?!!!!!!!
Nimewahi kuwa na uhusiano na wadada kadhaa, wa kutoka lindi na nje ya lindi. Nikipima urahisi wa nilivyowapata, sioni hata utofauti.....ni rahisi mno!
Sizungumzii wingi wa wadada wanaojiuza pale dar kutoka maeneo mengine kwa sababu mtasema 'huo ni ujasiriamali, sio tabia'. Hoja yangu, ni wapi tz hii hakuna umalaya?!!!
4. Mi najionea maeneo mengi tu yamechoka,......ila haiondoi ukweli kuwa maeneo ya lindi na mtwara yatabaki yakisemwa zaidi hata iweje (wenyeji wa huku ukiwauliza wanasema hawashangai hilo kwani wanajua sababu ya yote hayo).
Kuna sehemu moro na rukwa wanakula panya kabisa kama ilivyo kwa baadhi ya makabila ya kusini, lkn huko nje vyombo vya habari vinatangaza lindi na mtwara tu.