Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Lodge moja niliwahi kufikia huko miaka ya 2010's mwanzoni hapo,lodge maji hakuna wakatuonyesha maji yaliyotumika kufulia nguo wakasema yako hapo kwny hio ndoo mnaweza kuyaogea, nikasema tu Hiiiiiiiiiiiiiiiii.
Mmmm ni hatari kama ni kweli
 
Watanzania sisi ni washamba sana na malimbukeni na tusiojielewa; hivi tz hii ukiacha Dar kuna wapi kwingine kulikoendelea kiasi cha mtu kukesha akiponda sehemu nyingine?!!!!!!

Hivi makelele haya ninayoyaona ni ya watu kutoka sehemu hizi hizi za tz nilizotembelea na mimi au zingine?!!!!

Mikoa nane (8) ya nchi hii niliyowahi kufika na kuishi inanifanya nicheke sana baadhi ya commentsi humu.......
Hata kama ila lindi kumenyata sana hili huwezi pinga..huo mji haukui...unazidiwa na vimiji vidogo vya juzi juzi kama katoro.


#MaendeleoHayanaChama
 
Maeneo kama hayo Huwa napenda sana ndio yanaweza kukufanya tajiri maana fursa hasa ardhi inapatikana Kwa bei nafuu.
Ni kweli lindi ni sehem nzuri kwa kununua Ardhi kuna rafiki yangu baba yake kanunua ardhi Lindi kwa kutoa Ng''ombe 20, kupewa Ardhi kubwa sana unaweza kutembea kwa gari kwa dakika 10.
 
KWA MIAKA YA KARIBUNI MIJI MINGI IMEKUWA IKIJENGWA NA WAGENI. CHUNGUZENI IDADI YA JAMII ZA KIGENI UKILINGANISHA NA WAZAWA IKOJE KWA HAPO LINDI.
Wazawa ndio wengi..wageni wachache sana wengi watumishi wa umma..ila wafanyabiashara hakuna mji hauna mzunguko wa pesa kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tabora inapiga hatua huwezi linganisha na Lindi. Tabora haina mambo ya kurogana hovyo.
Hakuna mkoa wa kifala kama Tabora,nilipangwa huko ilinibidi nihame chaap;jamaa wachawi,kuuana hovyo,washamba,dada zenu kupika hawajui,kitandani ndio shida tu..n.k kiufupi mikoa ya huko bara ni takataka.
 
Sio rahisi , ila kajaribu,
Ili uweze kukamatia fursa ni lazima man power iwe active
Lindi ina vijana wavivu kwa kuwa wanategemea uvuvi, wana miembe na mikorosho. Kijana wa lindikehaokota dodo zake nne amefunga kwe ye pakacha anauza elfu tatu, !! Humtumi chochote ,sana sana anasubiri msimu wa korosho
Kama hayo mambo yapo basi ni hapo Lindi mjini acha kujumuisha vijana wote wa Lindi,vijana huku wilayani tunajituma sana tunalima kwa wingi mazao ya biashara;ufuta,mbaazi,mihogo na korosho..kiufupi hatupo kama mnavyotuchukulia,Lindi ndio mkoa unaoongoza katika hii nchi kwa kuingiza pato kubwa litokanalo na mapato ya zao la ufuta.#Shikahiyo!
 
Mkuu "Sijaona" najua kwenu Lindi. Lakini huo ndio ukweli. Acha usemwe.
🤣🤣🤣🤣🤣
Hata sina lengo la kubisha yote uliyosema na yasemwayo.......akitokea mwingine akasema kwetu mafia au mtwara sitomkatalia pia. Kinachonishangaza mimi ni ile hali ya , mimi mwenyewe, kushuhudia maeneo yaliyochoka km lindi au zaidi na yenye desturi za ajabu kupindukia lakini hata huoni watu wakizisema sehemu hizo!!!

1. Hivi lindi kuna uchawi kweli kushinda maeneo 'fulani'?!!!!! Kweli watu sisi tuna Mungu na imani?!!!!!!

2. Kuna mjumbe mmoja hapo juu alijaribu kueleza vizuri tu (kihistoria na sera) ni vp lindi iliweza kung'ara zamani wakati waswahili (km inavyoshupaliwa na wadau wengi humu) ni walewale? Ameongezea pia mfano wa Kigoma jinsi ilivyong'ara enzi za wajerumani na ilivyokuwa; hakuna jibu bali muendelezo wa mashambulizi.

3. Narudia, nimewahi kuishi sehemu unaweza ukamchukua mdogo na dada yake au jirani yake na wazazi wakawa wanajua na hakuna tatizo lolote lile. Tena ukiachana na huyo, km ni katili wa kutosha, unaweza hata kumchukua mama yake na wala hakuna shida. Ajabu unatajwa urahisi wa upatikanaji wanawake huko lindi tu.

Nimeishi lindi zaidi ya miaka 6 nikizunguka maeneo ya mchinga, lindi yenyewe, mtama, nyangao hadi kule juu....mandwanga, chiuta n.k. Ninaapa, huku nimeshuhudia mdada wa kigeni kutoka 'kulikoendelea' tena akiwa ni msomi tu, akibanduliwa hadi na wanafunzi wake huku akiwa ni mke wa mtu.

Ninaapa, nimemshuhudia dada (mwalimu) kutoka 'kulikoendelea' akiliwa, bila aibu, na watumishi wenzake karibu kata yote....yaani hadi kichefuchefu.

Ninaapa, nimemshuhudia nesi kutoka 'kulikoendelea' akiliwa na watumishi na raia ndani na nje ya kata yake hadi kichefuchefu. Hao wamesoma na wapo ugenini tena ugeni wa sehemu 'iliyochoka', vipi huko watokako hali ipoje?!!! Leo unataka uniambie umalaya upo lindi tu?!!!!!!!

Nimewahi kuwa na uhusiano na wadada kadhaa, wa kutoka lindi na nje ya lindi. Nikipima urahisi wa nilivyowapata, sioni hata utofauti.....ni rahisi mno!

Sizungumzii wingi wa wadada wanaojiuza pale dar kutoka maeneo mengine kwa sababu mtasema 'huo ni ujasiriamali, sio tabia'. Hoja yangu, ni wapi tz hii hakuna umalaya?!!!

4. Mi najionea maeneo mengi tu yamechoka,......ila haiondoi ukweli kuwa maeneo ya lindi na mtwara yatabaki yakisemwa zaidi hata iweje (wenyeji wa huku ukiwauliza wanasema hawashangai hilo kwani wanajua sababu ya yote hayo).

Kuna sehemu moro na rukwa wanakula panya kabisa kama ilivyo kwa baadhi ya makabila ya kusini, lkn huko nje vyombo vya habari vinatangaza lindi na mtwara tu.
 
Hakuna mkoa wa kifala kama Tabora,nilipangwa huko ilinibidi nihame chaap;jamaa wachawi,kuuana hovyo,washamba,dada zenu kupika hawajui,kitandani ndio shida tu..n.k kiufupi mikoa ya huko bara ni takataka.
Hukuhfika Tabora labda ulikuwa chunya nyau wewe.
 
Back
Top Bottom