Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Uislam upo pwani yote mkuu. Hata kusini kuwa na wakristo wachache usishangae hawa jamaa walimpinga mzungu Kwa kishindo (maji maji 1905/7). Hii ndio ishara kubwa kabisa ya kuliona hiliLindi kunawaislam wengi sana ndio maana
Zipo lakini ni limited sana na haziwezi kutegemea Soko Lindi huko hukoFursa zipo,inategemea na wewe tu
Field yako
Ova
Sidhani mama umewahi fika Tabora !Mji wenye vichaa wengi Tanzania
Ni ndogo sanaKWA MIAKA YA KARIBUNI MIJI MINGI IMEKUWA IKIJENGWA NA WAGENI. CHUNGUZENI IDADI YA JAMII ZA KIGENI UKILINGANISHA NA WAZAWA IKOJE KWA HAPO LINDI.
Mfano mzuri sana, inawezekana isingeizidi Mwanza lakini ingefika mbali sana. Medical Department Store(MSD) ya mkoa imewekwa Chato, hospitali kubwa ya rufaa, chuo cha VETA, uwanja wa ndege, maandalizi ya bandari ya nchi kavu baada ya SGR kufika mwanza, njia ya kwenda hifadhi ya Burigi kupitia Geita mjini ilifungwa na kutakiwa kutumika ya Chato tu na mengine mengi.Kwa uwekezaji ule uliokuwa unafanyika Chato unaamini Baada ya muda ingeikaribia japo Mwanza hata Kama fursa nyingine hakuna mfano Viwanda.?
Ndugu WashawashaIkipewa kipaumbele kila kitu kitakaa sawa. Ahsante sana
Wanaogopa kuongezeka na kuujaza mkoa wao?
Safi sana, wasiache mila na tamaduni zao,huku wakiangalia ni jinsi gani watautoa kidedea mkoa wao
Nalog off Z
Mbinga ndo inabeba ule mkoa, ukiitoa Mbinga mkoa wa Ruvuma nafuu LindiNBS inautaja mkoa wa Ruvuma kuwa top ten katika mikoa tajiri nchini..
Sijui wanatumiaga vigezo gan wale
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ruvuma kupo vzur wewe fursa nying za kilimoNisiwacheke sana Lindi, maana mwenyewe kwetu hali ni hiyo hiyo japo kuna nafuu kidg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena bora lindi watajivunia Bahari na bandari,. Sisi Ruvuma ni vumbi tyuuh. Sisi ndo tulikosea nn Dunia, sio kwa mkoa wetu khaaah.
alifanywa nini mkuu?Lindi katika swala la Wizard sidhani kama kuna mkoa unafua dafu hata Sumbawanga haioni ndani. MZ wakati wa uhai wake alichezeshewa picha moja kali sana.
Huu ndio ukweli wenyewe.Haijapewa kipaumbele...
Hii ina ukweli kwa asilimia 50.Shida ni elimu. Hizi zimambo nyingine za Imani z inaletwa na tamaduni ya watu wa kule kushindwa kukubaliana na maisha ya kisasa(more resistant to modernity)
Mngoni puree, mie huyu. [emoji23][emoji23][emoji23]kumbe we mtoto n mngoni ndo maana mambo yako “si mchezo”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee tupu. WoooiHa ha imagine hapo ndo mjini...ila december napanga nifanye tour huko kusini..uzi nimeupenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Ruvuma acha kabisaa yaan, tushapazoea na tunapapenda wenyewe.Ruvuma si bora niwe kwenye handaki tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]