Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Yani wakipelekwa mchakamchaka na wafugaji ndo watabadilika walau
 
Yani wakipelekwa mchakamchaka na wafugaji ndo watabadilika walau
Sasa wasukuma wana ujanja gani zaidi ya ushamba wa kisengerema?

Kuhusu uchawi hata kanda ya ziwa,nyanda za juu kusini na hata kanda ya kati,nilienda kondoa huko uislam mwingi ila watu wake maskini halafu wachawi mno,huko kwote uchawi mwingi tu maana nimekaa na kujionea.
 
Safii sanaa umeeleza sana ukweli...
Tena kwenye Elimu Akhera ndo shida kabisaa.
Lindi wanashinda na kulala nje ya vibaraza msikitini wakiamini Duniani sio mahala pao wana mahala ambapo wameandaliwa na Mungu.
 
ka u-mwinyi kana umaskini wa fikra ..sawa na Tabora mjini...

miji mingi waliokaa waarabu ina tatizo hili

Misafara ya watumwa kutoka Ziwa Nyasa iliishia katika bandari hii, Hadi miaka ya 1950 Lindi ilikuwa mahali pazuri kwa maisha ukianza na waarabu walioishi karne ya 18
 
Lindi wapowapo tu na hawajielewi, mfano Wamakonde watu wa kucheza vigodoro tu, unyago plus upuuzi mwingine wataendelea lini. Kuna rafiki yangu yupo kijiji cha Luchelegwa anakaa huko sitaki cheo chake anasema watu wa huko wavivu, hawataki kufanya kazi, hawataki kujituma wala kujishughulisha na shughuli za kiuchumi bali wao wapo kupiga vita wageni wanaokuja na kusaka fursa. Waliwahi mpiga vita hata daktari ambaye yupo kituo cha afya cha Kata hiyo kisa alimshauri mgonjwa kuwa mnapokuja kupata huduma muwe wasafi hadi halmashauri ikaingilia kati

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hii ya wasukuma kuhamia Lindi sinayo taarifa mkuu!!…

Iweke vizuri!!
Ni kweli wasukuma wanahamia Lundi kuna rafiki yangu baba yake katoa Ng''ombe 20 kapewa ardhi kubwa sana unaweza kutembea na gari dakika 15 ukamaliza eneo alilo pewa, na ata Rufiji wenyeji wameanza kuwakaribisha wageni kwa kuwapa ardhi wameshaona faida ya wageni.
 
sababu ni waislamu wengi nyerere ndio aliziuwa mkoa wa lindi mtwara pwani bagamoyo kilwa tanga
 
Hii mada ukiwa poyoyo utalishwa matango pori humu hadi watoto wakushangae!
 
Ikipewa kipaumbele kila kitu kitakaa sawa. Ahsante sana

Wanaogopa kuongezeka na kuujaza mkoa wao?

Safi sana, wasiache mila na tamaduni zao,huku wakiangalia ni jinsi gani watautoa kidedea mkoa wao
Nalog off Z
Tamaduni gani za unyago?nje ya hapo hakuna kingine zaidi ya tamaduni za kigeni.
 
Inavyoonekana mkoloni alivyoondoka Lindi hawajawahi kujenga hata parking lot, mji umekuwa worse kuliko miaka 50 iliyopita, naamini mkoloni bado angekuwepo Lindi leo hii wangekuwa na maendeleo makubwa sana, CCM ni disaster kwa Tanzania
 
Uko sahihi lakini dar si ya wazaramo kifursa maana wanahamishwa na wageni ila huko tabora,ujiji,lindi...uswahili ndio tatizo na elimu dunia ni adui yao.Lakini utandawazi utawabadilisha kilazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…