Mbona mnalia lia? Kuahirishwa kwa mchezo ni sehemu ya matokeo ya mchezo

Mbona mnalia lia? Kuahirishwa kwa mchezo ni sehemu ya matokeo ya mchezo

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,649
Reaction score
6,680
Sioni sababu ya mashabiki kulia lia.

Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo.

Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea kwa kuwa nacho ni sehemu ya matokeo wakati wowote mechi inapopangwa!
 
Kulia hatulii, isipokuwa tunajiuliza ni nani alifungua Geti na kusababisha Basi La Yanga Lisepe..?
 
Back
Top Bottom