Mbona mwanamke ukimkataa anakuchukia sana?

Kuna kidemu fulani cha chuga kama kidume😂😂😂nilikitema maana sinaga mazoea ya ovyo basi kimeanza chuki za kunipakazia eti mara natembea na fulani mara ivi!! Wakati sina time nacho wala hao anawataja sina hata mazoea nao
Chuki tu sijui kwanini hawa wenzetu wako hivi!
 
Ishanitokea kazini alikuwa ananitaka kinoma noma yaani design kama anafosi afu mi hata simuelewi nikamlia buyu, kumbe manzi yupo vizuri kwenye sayansi ya jadi ilikuwa ukisimama nchale ukikaa nchale mbona maji niliita mma
 
Achilia mbali kumkataa, mwanamke akiwa anakupenda halafu wewe ukawa huna time nae (na wala hujui kama yeye anakupenda), hiyo kwake ni sababu tosha ya kuanza kukuchukia..!!

We ukiona mwanamke anakuchukia tu bila sababu yoyote inayoeleweka, ujue kuna uwezekano mkubwa alikua anakupenda na wewe hukujua.
 
Hiv mnapataje ujasir wa kukataa mbususu. Dah kweli kwenye miti hakuna wajenzi walai

Hizi mbususu nazo ukishazichakata sana kuna mda unaishiwa appetite kabisa. Mfano mimi kwa sasa;
1. Demu kama sio mzuri (kwa vigezo vyangu) na niwe nimemuelewa, hata akinipa bure simchakati!
2. Sitongozi demu nisiemjua. Sitongozi mtandaoni, ni mpaka nimuone demu kwa macho na nijiridhishe.
3. Sibembelezi demu. Akionyesha tu dalili za kutosomeka mimi napita hivi..
4. Sihongi.
 
Dah mimi demu hat Kam tumekutan stendi akijiongez Nampelkea moto mpaka achanganyikiwe
 
Achilia mbali kumkataa, mwanamke akiwa anakupenda halafu wewe ukawa huna time nae (na wala hujui kama yeye anakupenda), hiyo kwake ni sababu tosha ya kuanza kukuchukia..!!

Kuna kademu kakipare kananichukia hadi sasa kwa sababu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…