Mbona mwanamke ukimkataa anakuchukia sana?

Mbona mwanamke ukimkataa anakuchukia sana?

Kaombe gemu uone katakavyofurahi na kuanza kukuchangamkia 😀
Ndo nataka nifanye hivyo najua kanataka sema zile aibu za kike tu. Natafuta Jmosi moja nikasogeze magetoni nikapelekee moto hadi Jpili jioni nikaambie karudi kwake
 
Huo upuuzi upo kwa waafrika tu.Sizani Kama wazungu wanaendekeza huo ujinga.
 
Kawaida kumchukia anaekutosa au kawaida kutoswa ?
Kawaida kutolewa nje na kawaida kutomtolea mtu njee maana kuna anayekutongoza na unayemtongoza sasa anaweza akutose akuelewe na pia naweza kumuelewa au kumtosa
 
Ndo nataka nifanye hivyo najua kanataka sema zile aibu za kike tu. Natafuta Jmosi moja nikasogeze magetoni nikapelekee moto hadi Jpili jioni nikaambie karudi kwake
Ukimuacha hata siku moja njoo unipige makofi wale ni mamafia shauri yako
 
Ishanitokea kazini alikuwa ananitaka kinoma noma yaani design kama anafosi afu mi hata simuelewi nikamlia buyu, kumbe manzi yupo vizuri kwenye sayansi ya jadi ilikuwa ukisimama nchale ukikaa nchale mbona maji niliita mma
Usiishi kibudu bila kuwa ndani ya Kristo Yesu. Watakuonea Sana.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
WATU WATAAOGOPA KUOA ILA WANAWAKE WENGI WABINAFSI KWELI NA WANAONA SISI WANAUME NDIO TUNA USALITI SASA MKE WA MTU AMEKUTONGOZA UMEKATAA NI VIZURI KULIKO UNGEMKUBALI MME WAKE ANGEJUA ANGEWEZA KUMUUA AU KUKUDHRU PIA UNAOENEKANA KWELI UNAJITAMBUA ILA ANGEKUTANA MTU ASIEJALI ANGEMPELEKEA MOTO ILA NI DHAMBI KUBWA SANA KUSALITIANA DAHHH
 
Back
Top Bottom