Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
Mbona Ulaya hawasomi na hizo mimba?Embu tuache uboya, wasome tu na mimba zao tatizo ni nini? Mimba zinaambukiza?
Sisi wazungu wanatuhusu nini?Mbona Ulaya hawasomi na hizo mimba?
Mbona Ulaya hawasomi na hizo mimba?
Hivi kwanini ume 'limit' PMsgs?!Sisi wazungu wanatuhusu nini?
Si hao ndo wametubana. Inaonesha hata hujui sera za nje na chanzo cha kuruhusu wasome. Ha ha ha!Sisi wazungu wanatuhusu nini?
Kama mtu huna exposure ni vizuri ukatulia tu. Ulaya kubakwa kupo sana. Na kesi nyingi ni zakubakana.Kwani uyala wanabakwa wanavyoenda shule km 10?
Mkuu, si kila kitu cha mzungu ni chakufuata. JiongezeSi hao ndo wametubana. Inaonesha hata hujui sera za nje na chanzo cha kuruhusu wasome. Ha ha ha!
Hatujaongelea umri wa mtoto. Hapa ni swala la mwanafunzi kusoma na mimba. Si umri wa kuanza mapenzi. Sheria bado inaruhusu kwa Tanzania miaka 15 kuolewa kwa idhini ya wazazi au mahakamaNa atueleze anaposema 'Ulaya' ana maanisha nchi gani hasa? kwani tafsiri ya sheria ya mtoto kwetu na kwao zinaingiliana? kuna mataifa 16yrs fresh tu!
Inaonesha uelewi naongea nini. Wazungu ndo wametushinikiza tufuate sera zao kuwa watoto wenye mimba waende shule. Ndo maana nikasema Ethiopia uwa hawashinikizwi. Wamegomea mambo mengi ya wazungu.Mkuu, si kila kitu cha mzungu ni chakufuata. Jiongeze
????Hivi kwanini ume 'limit' PMsgs?!
Hatuongelei umri. Sheria ya elimu inasema ukimpa mimba mwanafunzi ni miaka 30 jela haijataja umri wa mwanafunzi. Hata akiwa na miaka 19 halafu mwanafunzi wa sekondari ni jela. So hapa siongelei umri. Ni mimba na kusoma. Soma uelewe mada.Ukifanya refference na hapa kwetu issue ya umri haikwepeki mzee! Tafakari kwa mawanda mapana!
Sasa hilo nalo mpaka mzungu akuambie au ushurutishwe. Mimba ni sehemu ya maisha ya mtoto wa kike (mwanamke). Akiipata bado mdogo asihukumiwe kwa kukoseshwa elimu. Akanywe kwa busara na hekima huku tukijua analo jukumu la kulea hicho kiumbeInaonesha uelewi naongea nini. Wazungu ndo wametushinikiza tufuate sera zao kuwa watoto wenye mimba waende shule. Ndo maana nikasema Ethiopia uwa hawashinikizwi. Wamegomea mambo mengi ya wazungu.
Nadhani hujui mada inaongelea nini. Kwa Tanzania ni kosa kufanya ngono na mwanafunzi. Haijataja umri ukifuata sheria ya elimu. Lakini sheria ya makosa ya jinai ni kosa kufanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18. Lakini hiyo hiyo sheria inaruhusu kuoa binti wa miaka 15.Kwa context yako Ukifanya refference na hapa kwetu issue ya umri haikwepeki mzee! Tafakari kwa mawanda mapana!
Sasa mbona mmesubiri mpaka mzungu ndo kawambia muwaruhusu wasome kama sivyo hakuna msaada.Sasa hilo nalo mpaka mzungu akuambie au ushurutishwe. Mimba ni sehemu ya maisha ya mtoto wa kike (mwanamke). Akiipata bado mdogo asihukumiwe kwa kukoseshwa elimu. Akanywe kwa busara na hekima huku tukijua analo jukumu la kulea hicho kiumbe
Ngoja ni withdraw all my statements, nimekuelewa ..kwenye mda yako husika hujagusia kabisa hayo..weka 'nyama' kaka!Nadhani hujui mada inaongelea nini. Kwa Tanzania ni kosa kufanya ngono na mwanafunzi. Haijataja umri ukifuata sheria ya elimu. Lakini sheria ya makosa ya jinai ni kosa kufanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18. Lakini hiyo hiyo sheria inaruhusu kuoa binti wa miaka 15.
Mimi na nani mkuu?Sasa mbona mmesubiri mpaka mzungu ndo kawambia muwaruhusu wasome kama sivyo hakuna msaada.