Mbona nchi nyingine za Afrika haziruhusu mimba shuleni, na hakuna lawama za mataifa ya nje?

Mbona nchi nyingine za Afrika haziruhusu mimba shuleni, na hakuna lawama za mataifa ya nje?

Ngoja ni withdraw all my statements, nimekuelewa ..kwenye mda yako husika hujagusia kabisa hayo..weka 'nyama' kaka!

Hujazaa wewe..na kama umezaa hauna mtoto wa kike..hakuna mzazi atakayefurahia kuona mtoto wake haendelei masomo kisa mimba.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona mifumo ya elimu ya kuendeleza watoto ipo toka zamani. Hapa swala ni mtu kusoma na mimba. Au anaweza endelea na masomo akijifungua. Pia sijapinga kusoma na minba ila nimetoa story ya watu kushangaa.
 
Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha)
Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito.
Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya wameruhusu.
Nikajisemea kumbe kuna nchi Africa hawajaruhusu wajawazito kwenda shule. Nchi kama Ethiopia. Hawa uwa wanamisimamo haswa. Linapokuja swala la utamaduni, mila, desturi na imani hawayumbishwi.

Najiuliza tu baba wa mtoto miaka 30. Mtoto anazaliwa na kukua bila baba.

View attachment 2113277

View attachment 2113283
Kuna mambo mengi tunafanya na nchi zingine haziyafanyi na kuna mambo hizo nchi zinayafanya na sisi hatuyafanyi. Hivyo, jambo muhimu ni kufanya lile jambo ambalo unaona lina manufaa kwako na kwa watu wako. Zamani (wakati wa Mwalimu Nyerere) literacy Tanzania ilikuwa kama sikosei zaidi ya 95% - maana kulikuwa 1) compulsory basic education (shule ya msingi) 2) elimu ya sekondari 3) elimu ya chuoni na 4) elimu ya watu wazima. Taifa lilitengeneza utaratibu kuwa kama mtu atakosa elimu kwa mfumo wa kawaida, then ataipata kwa mfumo wa elimu ya watu wazima na almost kila raia alijua a) kusoma b) kuandika na c) kuhesabu. Ikaja pia sera ya ulinzi - kila raia alikuwa mlinzi wa taifa la Tanzania. Wale waliokuwa shuleni walipita jeshini (jeshi la kujenga taifa) kwa muda wa mwaka mmoja na ilikuwa ni lazima na wale waliokosa hiyo fursa walilazimika kujiunga na mafunzo ya mgambo. Utaratibu huu pia ulimfanya almost kila raia wa Tanzania kujua mbinu za kivita - kujilinda yeye mwenyewe, familia na mali yake na pia kulinda taifa dhidi ya maadui wa nje. Huu ni utaratibu ambao tuliona unatufaa. Hivyo, hata utaratibu kwamba msichana akipata mimba arudi shuleni baada ya kujifungua aendelee na masomo ni utaratibu mzuri. Kuna akina mama kadhaa kwa sasa wana nyadhifa mbalimbali serikalini na hata kwenye sekta binafsi kutokana na fursa kama hii. Hivyo, kwa vile elimu ni asset, kila Mtanzania ni vizuri apate fursa ya kusoma hadi hapo atakapomaliza masomo yake. Mpaka hapa mimi sijaona ubaya wa utaratibu huu.
 
Sijaongelea ubaya, swali ni kwanini tushinikizwe kwa hili. Kwa sababu hatukuwa nalo. Nyerere alifuata mifumo ya ujamaa ambao nchi nyingi zenye mlengo huo zilifuata hayo yote uliyoyasema. Ethiopia walifuata Ujamaa hadi sasa bado wanamifumo kama ya enzi za Nyerere.
Si kwamba Tanzania waliopata mimba hawakusoma tena. Tulikuwa na nafasi ya wao kuendelea kusoma kama MMEMKWA , na nyinginezo mfano Masomo ya jioni na kadhalika. Wengi walio endelea katika mifumo hii walikuwa wamejifungua hasa kwa wadada.

Kinachoshangaza kidogo ni kuwaweka katika mfumo wa kawaida. Hii inaweza fanya watoto wengine wa kike kuona kupata mimba ni kitu cha kawaida hivyo wasijitunze, kwa mujibu wa maadili ya kitanzania au Africa. Nimeshuhudia mabinti kadhaa wakiacha shule na kupata mimba kwa kuigana kisa shoga yake alitoroshwa, binti mwingine nae akiambiwa raha anazopata akaiga, nae akapata mimba.

Pia, kama wameamua mtoto wa kike asome, sawa kwanini mtoto wa kiume anabaguliwa tena anafungwa miaka 30 kisa kampa mimba mwanafunzi.

Mtoto hajafikiriwa, alie fikiriwa ni binti au mama wa mtoto. Je, mtoto atapata wapi malezi ya baba wakati baba yupo jela. Hii itamuathiri mtoto kisaikolojia na kimalezi. Ulaya malezi ya baba na mama ni muhimu sana kwa mtoto. Kuna vibinti vya shule vinazaa vinaacha masomo na kulea mtoto kwanza, wakishirikiana na baba wa mtoto.

Lakini sisi baba tunamfunga. Hakuna haki!
 
Embu tuache uboya, wasome tu na mimba zao tatizo ni nini? Mimba zinaambukiza?
Kama hukulijua hili pole sana. Kuruhusu wenye mimba na wazazi shuleni, kunaongeza hamasa ya vijana kutokujali matokeo ya kunyanduana bila hofu
 
Ujinga ni kumuweka mtoto ambaye amepewa mimba au keshaenda labour na binti bikra dawati moja hlf unaimba kulinda maadili....

Ni sawa kumruhusu mtoto aangalie picha za ngono hlf umuambie usifanye mapenzi we bado mdg..

Hapa hatuangalii hao vimbelembele wawili waliochezea mb.oo mapema tunaangalia hilo darasa lenye mabinti 30 ambao mwalimu asipoingia kwenye kipindi wanamzunguka huyu mzazi kupata story za jinsi uchungu wa kuzaa ulivyo,mtoto anavyotoka,manesi wanavyokuzalisha,mimba inavyochosha,kukatikia kulivyo.

Its 2 versus 30.

Kuna pumbavu litasema je akibakwa na mi naliuza ktk mabinti 10000.Wanaobakwa wanafika ht 10?Sasa kuna sheria inayotetea kila mtu??itaje!!!tuache kuangalia hawa 9990 tutetee hawa 10??? Serious!!!!!

Namsifanye hamjui kuwa kuna memkwa na elimu mbalimbali km kushona,upiShi,kupamba na kadhalika in fact hizo ndo elimu anaZoziitaji mzazi ili apate kaZi aanze majukumu ya kulea km sio memkwa.

Je km mwanao?Pumbavu tena km ni strong enough ata take full responsibilities za mistake zake km ataanza elimu ya watu wazima sawa maana hamna mtu asiyevuna alichopanda. Kwani mwanangu akiua sheria ya kifungo cha maisha ifutwe??
 
Hakuna Tanzania mwanafunzi mwenye mimba akawa na ujasiri wa kuvaa uniform wengi hujifukuza shule wenyewe na wachache hurud wakishajifungua kwahyo wakiruhusu wasiporuhusu yote ni yaleyale.
 
Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha)
Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito.
Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya wameruhusu.
Nikajisemea kumbe kuna nchi Africa hawajaruhusu wajawazito kwenda shule. Nchi kama Ethiopia. Hawa uwa wanamisimamo haswa. Linapokuja swala la utamaduni, mila, desturi na imani hawayumbishwi.

Najiuliza tu baba wa mtoto miaka 30. Mtoto anazaliwa na kukua bila baba.

View attachment 2113277

View attachment 2113283
Sio kwamba haziruhusu, bali unapumzika nyumbani, ukishajifungua, unaruhusiwa kuendelea na masomo, ingawa sio aina ya shule uliyokuwa. Labda majukumu ya mtoto ushindwe mwenyewe. Nchi zilizoendelea, mimba utotoni ni chache sana, sex education iko vizuri.
 
Back
Top Bottom