Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
- Thread starter
-
- #21
Ngoja ni withdraw all my statements, nimekuelewa ..kwenye mda yako husika hujagusia kabisa hayo..weka 'nyama' kaka!
Mbona mifumo ya elimu ya kuendeleza watoto ipo toka zamani. Hapa swala ni mtu kusoma na mimba. Au anaweza endelea na masomo akijifungua. Pia sijapinga kusoma na minba ila nimetoa story ya watu kushangaa.Hujazaa wewe..na kama umezaa hauna mtoto wa kike..hakuna mzazi atakayefurahia kuona mtoto wake haendelei masomo kisa mimba.
#MaendeleoHayanaChama
SerikaliMimi na nani mkuu?
Kuna mambo mengi tunafanya na nchi zingine haziyafanyi na kuna mambo hizo nchi zinayafanya na sisi hatuyafanyi. Hivyo, jambo muhimu ni kufanya lile jambo ambalo unaona lina manufaa kwako na kwa watu wako. Zamani (wakati wa Mwalimu Nyerere) literacy Tanzania ilikuwa kama sikosei zaidi ya 95% - maana kulikuwa 1) compulsory basic education (shule ya msingi) 2) elimu ya sekondari 3) elimu ya chuoni na 4) elimu ya watu wazima. Taifa lilitengeneza utaratibu kuwa kama mtu atakosa elimu kwa mfumo wa kawaida, then ataipata kwa mfumo wa elimu ya watu wazima na almost kila raia alijua a) kusoma b) kuandika na c) kuhesabu. Ikaja pia sera ya ulinzi - kila raia alikuwa mlinzi wa taifa la Tanzania. Wale waliokuwa shuleni walipita jeshini (jeshi la kujenga taifa) kwa muda wa mwaka mmoja na ilikuwa ni lazima na wale waliokosa hiyo fursa walilazimika kujiunga na mafunzo ya mgambo. Utaratibu huu pia ulimfanya almost kila raia wa Tanzania kujua mbinu za kivita - kujilinda yeye mwenyewe, familia na mali yake na pia kulinda taifa dhidi ya maadui wa nje. Huu ni utaratibu ambao tuliona unatufaa. Hivyo, hata utaratibu kwamba msichana akipata mimba arudi shuleni baada ya kujifungua aendelee na masomo ni utaratibu mzuri. Kuna akina mama kadhaa kwa sasa wana nyadhifa mbalimbali serikalini na hata kwenye sekta binafsi kutokana na fursa kama hii. Hivyo, kwa vile elimu ni asset, kila Mtanzania ni vizuri apate fursa ya kusoma hadi hapo atakapomaliza masomo yake. Mpaka hapa mimi sijaona ubaya wa utaratibu huu.Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha)
Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito.
Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya wameruhusu.
Nikajisemea kumbe kuna nchi Africa hawajaruhusu wajawazito kwenda shule. Nchi kama Ethiopia. Hawa uwa wanamisimamo haswa. Linapokuja swala la utamaduni, mila, desturi na imani hawayumbishwi.
Najiuliza tu baba wa mtoto miaka 30. Mtoto anazaliwa na kukua bila baba.
View attachment 2113277
View attachment 2113283
Sijaongelea ubaya, swali ni kwanini tushinikizwe kwa hili. Kwa sababu hatukuwa nalo. Nyerere alifuata mifumo ya ujamaa ambao nchi nyingi zenye mlengo huo zilifuata hayo yote uliyoyasema. Ethiopia walifuata Ujamaa hadi sasa bado wanamifumo kama ya enzi za Nyerere.Kuna mambo mengi tunafanya na nchi zingine haziyafanyi na kuna mambo hizo nchi zinayafanya na sisi hatuyafanyi. Hivyo, jambo muhimu ni kufanya lile jambo ambalo unaona lina manufaa kwako na kwa watu wako. Zamani (wakati wa Mwalimu Nyerere) literacy Tanzania ilikuwa kama sikosei zaidi ya 95% - maana kulikuwa 1) compulsory basic education (shule ya msingi) 2) elimu ya sekondari 3) elimu ya chuoni na 4) elimu ya watu wazima. Taifa lilitengeneza utaratibu kuwa kama mtu atakosa elimu kwa mfumo wa kawaida, then ataipata kwa mfumo wa elimu ya watu wazima na almost kila raia alijua a) kusoma b) kuandika na c) kuhesabu. Ikaja pia sera ya ulinzi - kila raia alikuwa mlinzi wa taifa la Tanzania. Wale waliokuwa shuleni walipita jeshini (jeshi la kujenga taifa) kwa muda wa mwaka mmoja na ilikuwa ni lazima na wale waliokosa hiyo fursa walilazimika kujiunga na mafunzo ya mgambo. Utaratibu huu pia ulimfanya almost kila raia wa Tanzania kujua mbinu za kivita - kujilinda yeye mwenyewe, familia na mali yake na pia kulinda taifa dhidi ya maadui wa nje. Huu ni utaratibu ambao tuliona unatufaa. Hivyo, hata utaratibu kwamba msichana akipata mimba arudi shuleni baada ya kujifungua aendelee na masomo ni utaratibu mzuri. Kuna akina mama kadhaa kwa sasa wana nyadhifa mbalimbali serikalini na hata kwenye sekta binafsi kutokana na fursa kama hii. Hivyo, kwa vile elimu ni asset, kila Mtanzania ni vizuri apate fursa ya kusoma hadi hapo atakapomaliza masomo yake. Mpaka hapa mimi sijaona ubaya wa utaratibu huu.
Kama hukulijua hili pole sana. Kuruhusu wenye mimba na wazazi shuleni, kunaongeza hamasa ya vijana kutokujali matokeo ya kunyanduana bila hofuEmbu tuache uboya, wasome tu na mimba zao tatizo ni nini? Mimba zinaambukiza?
Sio kwamba haziruhusu, bali unapumzika nyumbani, ukishajifungua, unaruhusiwa kuendelea na masomo, ingawa sio aina ya shule uliyokuwa. Labda majukumu ya mtoto ushindwe mwenyewe. Nchi zilizoendelea, mimba utotoni ni chache sana, sex education iko vizuri.Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha)
Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito.
Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya wameruhusu.
Nikajisemea kumbe kuna nchi Africa hawajaruhusu wajawazito kwenda shule. Nchi kama Ethiopia. Hawa uwa wanamisimamo haswa. Linapokuja swala la utamaduni, mila, desturi na imani hawayumbishwi.
Najiuliza tu baba wa mtoto miaka 30. Mtoto anazaliwa na kukua bila baba.
View attachment 2113277
View attachment 2113283