PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?

Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia

1763725827962.png
 
Nchimbi ni mkali wa hizi mambo za Kimafia. Bimkubwa bado "amacha".

Hata kipindi kile pesa za ESCROW mifisadi yenyewe kina Chenge ilikula buyu tu huku inampimia kwa macho Tibaijuka anavyohaha na vyombo vya habari kujitetea, mara pesa za mboga mara hivi...."

Nchimbi muone hivi hivi.
 
Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?

Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia

View attachment 3505290
Hao hawapatani toka kitambo. Si unaona hata kwenye uapisho wa mawaziri Nchimbi alifanya surprise hakutegemewa kuwepo
 
Ukiwa na hata chepe ya kitu kinaitwa akili huwezi kujiingiza sana kwenye haya mambo (hata kama umo) lazima ujifanye kujitenga nayo...

Nashangaa wale ambao hawamo moja kwa moja wanajiingiza after the fact; Najiuliza wamepewa nini au wanakubwa blackmailed - Hili ni Zigo la Misumari...
 
Anasubiri kukaimu nafasi ya urais Samia akienda kujibu mashtaka Mahakama ya ICC Uholannzi

Muda huu Nchimbi anazunguka Congo na Zambia kuendelea kujitambulisha kama kaimu rais

19 November 2025
Lusaka, Zambia


Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia

Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Vice-President-of-Tanzania-John-Nchimbi.jpg

Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.​

Vyombo vya habari vinaripoti kuwa Dk Emmanuel Nchimbi aliwasili kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, kwa ndege ya Air Tanzania.

Alipokelewa na Waziri wa Afya, Elijah Muchima, sambamba na Meya wa Lusaka Chilando Chitangala, Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Ltuteni Jenerali Matthew Mkingule na viongozi wengine waandamizi wa serikali ya Zambia na Tanzania.

Dk Nchimbi anatarajiwa kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) unaotarajiwa kufanyika kesho mjini Lusaka.

Anatarajiwa kurejea Tanzania mara tu ratiba yake ya kazi itakapokamilika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=TN6y0xGp8d8
 
Kaimu rais alivyowasili kwa protocol zote


15 November 2025
Kinshasa, Democratic Republic of Congo

The 9th Summit of Heads of State and Government of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR)
,

1763729715808.jpeg


The Vice President of the United Republic of Tanzania, H.E. Ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi, represented H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia President of the United Republic of Tanzania, at the Ninth Summit of Heads of State and Government of the International Conference on the Great Lakes Region held in Kinshasa, Democratic Republic of Congo.

The summit was preceded by a series of meetings involving technical experts, heads of defense and security organs, and sectoral ministerial committees, including those responsible for Defense, Mining, and Gender.

This year’s summit was held under the theme: “Strengthening Peace and Security for Sustainable Development in the Great Lakes Region.”Through this theme, member states discussed the current security situation in the Great Lakes Region and proposed measures to enhance peace and stability across the area.

During the summit, Tanzania reaffirmed its commitment to all key agenda items, particularly those related to peace and security, emphasizing that it will continue to play a significant role—as it has consistently done across various countries—to ensure the attainment of lasting peace in the region.

In his opening remarks, the newly appointed Chairperson of the ICGLR and President of the Democratic Republic of Congo, H.E. Felix Tshisekedi, congratulated H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan on her victory in the free and fair elections held in October 2025.
1763729678656.jpeg

Member states were also urged to uphold the founding Treaty of the ICGLR, which seeks to promote peace, security, and genuine development through cooperation, unity, and solidarity—while maintaining unwavering commitment and dedication to achieving these shared goals.

Other agenda items discussed during the summit included issues related to mineral resources, gender, and finance.

The Vice President was accompanied by the Permanent Secretary in the Office of the President of Zanzibar SMZ, Hon. Salehe Juma Mussa; the Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Said Shaib Mussa; Tanzania’s Ambassador to the Democratic Republic of Congo, H.E. Said Juma Mshana; as well as senior officials and various experts
 
Kimoyo moyo Atatamani huu upepo uondoke na Samuya, Ili alithi mali za marehemu

Kukaimu urais iliwahi kutokea, Samia anajitayarisha kwenda kujitetea akiongozana na Hamza Johari AG Mwanasheria Mkuu kumpambania kwa hoja dhidi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC ili wapone kama Uhuru Kenyatta alivyoweza kuchoropoka kutoka ICC


TOKA MAKTABA :
6 Oktoba 2014


RAIS UHURU KENYATTA - WAHESHIMIWA NACHUKUA HATUA HII YA KIHISTORIA, KUKAIMISHA MADARAKA YA URAIS KWA MH. RUTO ILI NIENDE ICC THE HAGUE UHOLANZI KUJITETEA

View: https://m.youtube.com/shorts/ITgd_NJ_ulY
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ataelekea katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko Hague, Uholanzi kuheshimu wito kuhusu madai yake ya kuhusika katika kuandaa ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007. Rais Kenyatta alitoa tangazo hilo katika kikao maalum cha pamoja katika Bunge la Kitaifa la Kenya na Seneti. Pia alimteua naibu wake William Ruto kukaimu kama Rais akiwa hayupo. Hii hapa ripoti ya Chris Ocamringa. Kwa habari zaidi tembelea


View: https://m.youtube.com/watch?v=D8Odn8ne-SQ
 
Siku akifikia na yeye cheo cha kuwa Ibilisi wa kuteka na kuua mamia kwa maelfu ya raia wasio na hatia, ndiyo wataanza sasa kupatana.
 
Wakuu Balozi Nchimbi yuko wapi?

Mbona kama hili sakata la tumbo joto kuhusu Serikali na hizi report za kimataifa kuhusu haya mauaji mbona kama Nchimbi havimuhusu hivi. Wako sawa huko ndani kweli? Alie karibu na Nchimbi huko anisaidie kumsalimia

View attachment 3505290
Kwani hata mchochezi mkuu wa mauaji haya Steven Wassira umemsikia? Rose Migiro umemsikia? Muuaji Bashite umemsikia? Wambura umemsikia? Muliro umemsikia? Wenyewe wanaogopana sasa hivi, walijua kila siku ni Ijumaa shenzy zao
 
Haya yote ni maccm mauaji hakuna lenye unafuu.

Uchaguzi hakufanyika, hatuna rais wala makamu.

Tujadili D9 kwanini mna potezwa na ujinga huu?
 
07 Novemba 2025, Dodoma.
Mkutano wa SADC kaimu rais Dr. Emmanuel Nchimbi katika zoom conference

1763734511104.jpeg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, uliyofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 07 Novemba 2025, Dodoma.

N.B

A "de facto ruler" is someone who holds the real power to lead a country or organization in practice, even if they do not have the official or legal title
 
Back
Top Bottom