PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

PostGE2025 Mbona Nchimbi yupo kimya? Simuoni akihaha na haka kaupepo kanakoendelea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Makamu yupo Zambia anapambania Gen z na taifa kwa ujumla. Ametumwa na Rais
 
24 November 2025
Luanda, Angola

Dr. Emmanuel John Nchimbi awasili Angola kwa kikao cha taasisi mbili muhimu duniani kikao cha EU Umoja wa Ulaya na Umoja wa AFRIKA AU


View: https://m.youtube.com/shorts/MQOeHmaK_6c
1764030454580.jpeg
 
24 November 2025
Luanda, Angola

Dr. Emmanuel John Nchimbi awasili Angola kwa kikao cha taasisi mbili muhimu duniani kikao cha EU Umoja wa Ulaya na Umoja wa AFRIKA AU
Luanda, Angola

ZAIDI YA VIONGOZI 40 WA SERIKALI NA NCHI WASHIRIKI MKUTANO MUHIMU BAINA YA UMOJA WA ULAYA NA UMOJA WA AFRIKA


View: https://m.youtube.com/watch?v=cR6LhefU_SU
1764030842284.jpeg

Rais Emmanuel Macron akiwasili Luanda Angola
1764030876154.jpeg

Katibu Mkuu Umoja wa mataifa António Guterres akiwasili Luanda Angola
 
Ila wametudharau. Wangetuchagulia angalau mwenye unafuu utubwabwajie🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Wanataka mtu ambaye yupo tayari kujilipua na kujitoa ufahamu. Huyu ndiye wameona anawafaa maana hajaanza leo kufanya hizi kazi. Hiyo kazi ya ukauzu kama haujazoea unaweza ukalia mbele ya mic.
 
utakatifu upi..kukaa kimya wakati mambo yanaharibika km mpango ni utakatifu au upumbavu..?km hupendezwi si utoke kwenye hiyo nafasi km alivyofanya polepole kuliko kukaa kimya.
Hujanielewa
 
Kimoyo moyo Atatamani huu upepo uondoke na Samuya, Ili alithi mali za marehemu
Anawaambia viongozi wengine wa SADC na AU , shida ni Mama. Hivyo Wana subiri aicc ifanye KAZI yake yeye achukue madaraka na kurekebisha nchi
 
Hujui hiyo position sio ya kukimbilia, una deal na mazingira,kero za muungano na kukata utepe ikibidi
 
Back
Top Bottom