Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni.
Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
 
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Wala si shida kwakua chama kimeshampitisha kama mgombea wake...Tatizo pekee ni pale unapojipa wewe nafasi Kisha unawabania wengine kwakisingizio Cha kulinda amani kumbe ni maslahi binafsi, hapa watanzania tunakosea sana
 
Sio tu kwamba ameanza kampeni bali amekwisha jitangaza kama mshindi wa urais wa October, 2025. Kumbuka aliposema kuhusu Mpina aachiwe yeye kwenye nafasi zake 10 za kuteua, it means amekwisha shinda na hizo karatasi za wanachi kwenda kwenye maboksi ya kura sio hoja yake.
 
Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni.
Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
Yaani nimesoma hii post yako nimecheka mpaka mbavu zinataka kupasuka. Una group la wasap la vichekesho uniunge?
 
Sio tu kwamba ameanza kampeni bali amekwisha jitangaza kama mshindi wa urais wa October, 2025. Kumbuka aliposema kuhusu Mpina aachiwe yeye kwenye nafasi zake 10 za kuteua, it means amekwisha shinda na hizo karatasi za wanachi kwenda kwenye maboksi ya kura sio hoja yake.
Niliogopa niliposikia....Duuh tuombee amani iendelee kuwepo
 
Changamoto sana huyu mtu
 
Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni.
Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
Yeye kateua tume zote, yeye mgombea pekee na yeye ndiye yeye mwanzo na mwisho, hivyo hakuna atakayethubutu kumnyooshea kidole.
 
Niliogopa niliposikia....Duuh tuombee amani iendelee kuwepo
Na November, 22, 2024 akiongea na wahalili wa vyombo vya habari baada ya mkutano wa G20 uliofanyika Brazil, akizungumzia agenda ya nishati alisema anatoka madarakani 2030, directly wala sio kwa kudra za Mwenyezi Mungu wala ikiwa wapiga kura wataridhia , na mara nyingine alisema Tanzani ilipata Rais mwanamke kwa kudra za Mwenyezi Mungu, ila 2025 ndio itapata Rais rasmi kwa uchaguzi. Amejihakikishia ushindi, ndio maana kwenye mambo ya uchaguzi nampenda sana Prof. Assad.
 
Sio tu kwamba ameanza kampeni bali amekwisha jitangaza kama mshindi wa urais wa October, 2025. Kumbuka aliposema kuhusu Mpina aachiwe yeye kwenye nafasi zake 10 za kuteua, it means amekwisha shinda na hizo karatasi za wanachi kwenda kwenye maboksi ya kura sio hoja yake.
Kati ya maraisi wote aiseee huyu ana overconfidence, hata huyo anaesema kaanza kampeni namshangaa tu.

Yeye kampeni za nini wakati tayar ni raisi.
 
Back
Top Bottom