REV KISOLO
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 235
- 145
Because not!
Why not
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why not
HahahaHalafu wote hao, hakuna anayejitapa kwenye social media kwamba pesa anayo.
Sisi weusi ni matajiri wa kujitangaza mitandaoni tu.
Hizo kabila za weupe, wana utamaduni wa kushirikishana kwenye biashara. Biashara alianzisha babu, mjukuu bado ana ziendeleza kwa mafanikio.
kwetu utashirikishwa kwenye biashara baada ya baba/babu kufariki. na kabla ujaijua vizuri biashara na yenyewe inafariki.
HahahaAlafu kitu kingine, hata kama kwenu zipo utaambiwa katafute za kwako... Kupelekea watu Wengi kwenda kuanza maangaiko upya kujiinua, huku vya nyumbani ulivyokatazwa vikifa...
Ilitakiwa kama Baba ana mashamba makubwa watoto mkasomee kilimo cha biashara.
Kuliko unaambiwa kajitegemee, Mwishowe wote mnajazana Kariakoo