Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ndo ilivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka familia ina kwambia katafute zako manake familia haina pesa kihivyoAlafu kitu kingine, hata kama kwenu zipo utaambiwa katafute za kwako... Kupelekea watu Wengi kwenda kuanza maangaiko upya kujiinua, huku vya nyumbani ulivyokatazwa vikifa...
Ilitakiwa kama Baba ana mashamba makubwa watoto mkasomee kilimo cha biashara.
Kuliko unaambiwa kajitegemee, Mwishowe wote mnajazana Kariakoo
Nina nyuzi nyingi humu nikishauri mambo mbalimbali. Na kuna baadhi ya nyuzi zangu zilifanyiwa kaziMbona na wewe unalalamika bila kutoa ufumbuzi?
Na wamasai wanaozungula na maelfu ya ng'ombe huku wakileta migogoro na kuharibu mazingira. Wazaramo wasilaumiwe kwasababu walishaamua kuwa maskini maishani mwao.Sii Watanzani wote angalia Wachaga wengi ni matajiri hadi wanamiliki Precision Air. AKIBA Commercial Bank
FAMILY SOAP industries Mabasi ABC BM DAR AND KILIMANJARO Express ni biashara nyingi kubwa nchi yote! Sema tz kuna makabila waswahili kazi ni kuchaza tu ngoma kama wazaramo ndo hawa wanaturudisha nyuma
Hawahongi vyao.....Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Mimi na wewe Tuko bize na umbeya jfUkiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri

Africa mashariki tumejiroga wenyeweMisri hakuna Weusi au Wazungu mabilionea. Mabiliona ni Wamisri Waarab na Copt tu
Ghana na Nigeria matajiri ni weusi hakuna wahindi
Pembe zetu za ndovuUkiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nneKwahiyo mkoloni ndiye aliyewauzia mali za serikali kama viwanda, mashamba Kwa Bei ya kutupwa
Au unamaanisha mkoloni mweusi, watu wenye asili ya Asia walikuja Afrika mashariki na mitaji ya kawaida tu wengine tukawafirisi kwenye azimio la Arusha na wengine Bado wanapambana Kwa biashara za kati.
Ila Hawa wafanyabiashara wakubwa wametajirika kupitia udhaifu wetu na ujinga wa viongozi wetu
Tunaweza ku leapfrog kwa kuwekeza ktk teknolojia tu. Teknolojia ina nguvu ya kukuvusha hatua 100 mbele if you are dedicated.Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nne
Na walikuwa wanafanya biashara tokea miaka hiyo mpaka leo wajukuu zao ndio wanao ziendeleza mfano mo dewji
So wewe ambae ni kizazi cha kwanza na umeanza biashara miaka ya 2000 kamwe huwezi kuwa sawa na mhindi anaendeleza biashara ya tokea 1930 ilioasisiwa na babu yake
So waswahili kwa wahindi tunayo mengi ya kujifunza tuache silka ya kuwafukuza watoto wakimaliza chuo kwa kisingizio wakatafute vya kwao ilhali nyumbani kuna mali ambayo anaweza kuiendeleza.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ni kwa sababu ndiyo rahisi kutumiwa na viongozi wetu wezi kutuibia na kutunza siri. Rejea skandali ya Chavda. Pia, ni kwa sababu waswahil tunachukiana kiasi cha kuacha kununuza wenzetu na kwenda kununua kwao wakati kwao ni kinyume. Mwisho ni kutokana na mifumo mibovu ya kikoloni tuliyorithi na watawala wetu wakaishikilia ili kututawala kikoloni kama ilivyo sasa ambapo rais ni ka muungu fulaniUkiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Pole sana mkuu, huna unachokijua wahindi wangapi unaowafahamu utajiri wao umeanzia kizazi cha nne nyuma na mpaka Leo utajiri unavuka Dola million 100Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nne
Na walikuwa wanafanya biashara tokea miaka hiyo mpaka leo wajukuu zao ndio wanao ziendeleza mfano mo dewji
So wewe ambae ni kizazi cha kwanza na umeanza biashara miaka ya 2000 kamwe huwezi kuwa sawa na mhindi anaendeleza biashara ya tokea 1930 ilioasisiwa na babu yake
So waswahili kwa wahindi tunayo mengi ya kujifunza tuache silka ya kuwafukuza watoto wakimaliza chuo kwa kisingizio wakatafute vya kwao ilhali nyumbani kuna mali ambayo anaweza kuiendeleza.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu fafanua izo rafu tupate kujua zaidiPole sana mkuu, huna unachokijua wahindi wangapi unaowafahamu utajiri wao umeanzia kizazi cha nne nyuma na mpaka Leo utajiri unavuka Dola million 100
Wahindi wengi walipoteana kipindi cha Nyerere, hao matajiri wakubwa wa kihindi unaowajua utajiri wao umeanza kipindi cha Mwinyi
Hata huyo mo dewji baba yake kacheza rafu nyingi sana kipindi cha Mwinyi na mkapa
Wahindi ni wafanyabiashara wazuri ndio lakini kwenye nchi za Africa mashariki utajiri wao umetokana na siasa zetu za kipuuzi
Wahindi walikuja 1890. Sisi tupo tangu lini?Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nne
Na walikuwa wanafanya biashara tokea miaka hiyo mpaka leo wajukuu zao ndio wanao ziendeleza mfano mo dewji
So wewe ambae ni kizazi cha kwanza na umeanza biashara miaka ya 2000 kamwe huwezi kuwa sawa na mhindi anaendeleza biashara ya tokea 1930 ilioasisiwa na babu yake
So waswahili kwa wahindi tunayo mengi ya kujifunza tuache silka ya kuwafukuza watoto wakimaliza chuo kwa kisingizio wakatafute vya kwao ilhali nyumbani kuna mali ambayo anaweza kuiendeleza.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Waafrika matajiri ni wanasiasa tu ambao wengi wao wametajirika kwa wizi, vita, rushwa na ufisadi.Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri