Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nyie endeleeni na siasa tu
Halafu kuombeana ajira serikalini ili muombe Rushwa na kudhulumu watu
Wakati mnakimbiza mwenge na kuimba oo ooh Tanu na Kanu wao walikuwa wanaleta mafuta ya taa na kuwauzia
Hawakuingia siasa kwa sababu ya discrimination ila wakajikita kwenye biashara na kuweza kuwafanya muwe wahitaji wao hata ukiishiwa kasabuni unaenda kumuomba
Tatizo la mswahili hana mipango ya kesho yeye ni kula Bata tu
Akikamata mkaa akapewa elfu 30 anaona kashinda lottery