Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

Nyie endeleeni na siasa tu
Halafu kuombeana ajira serikalini ili muombe Rushwa na kudhulumu watu

Wakati mnakimbiza mwenge na kuimba oo ooh Tanu na Kanu wao walikuwa wanaleta mafuta ya taa na kuwauzia
Hawakuingia siasa kwa sababu ya discrimination ila wakajikita kwenye biashara na kuweza kuwafanya muwe wahitaji wao hata ukiishiwa kasabuni unaenda kumuomba

Tatizo la mswahili hana mipango ya kesho yeye ni kula Bata tu
Akikamata mkaa akapewa elfu 30 anaona kashinda lottery
 
Sasa mpinzani hawezi kukupa mbinu kwa sababu anajua utatumia hizo mbinu kuendelea kubaki madarakani... Ingekuwa hivyo vyama pinzani vinatoa mbinu za suluhisho kwenye chama cha madaraki, basi vyama vingi vingedumu madarakani toka enzi na enzi.

CCM hata wakipewa suluhisho, hawawezi kutoa credit kwa vyama pinzani. Na vyama pinzani wanaona bora wabaki na suluhisho zao
Wapinzani uchwara kama wewe ndo ninaowaongelea. Mnatanguliza vyama kabla ya nchi. Ila tatizo wapinzani wa Tanzania wengi wao elimu duni. Lema, Mbowe, Sugu wanaweza kushauri kitu gani cha kitaalamu? Hasahasa Lema atakimbilia kutabiria watu vifo.
 
Ondoka madarakani ndio uone kama Nchi itaweza kuongozwa au lah....sasa madaraka yote umeshikiria wewe, utajuaje kama wengine wanaweza kuongoza au lah? Kiti cha madaraka umeshikiria wewe tangu tupate Uhuru, alafu unakashifu Vyama ambavyo hamtaki kivipa madaraka... Tukizungumzia umaskini wa nchi, lawama lazima ziangukie CCM, kwa sababu nyie ndio mmeshikilia madaraka tangu tupate uhuru, CCM ingekuwa ni mtu basi isingekuwa tofauti na Museveni
 
mkoloni alimuandaa nani wewe? Hao akina Bakhresa walioanza kuwa wauza viatu vya kushona? Kwa nini hatutaki kutambua juhudi za watu kujikomboa lazima tuambatanishe na ukabila fulani?

Mbona wawe hao hao waarabu na wahindi. Umezungumzia kwamba alianza na kuuza viatu vya kushona, ni watanzania weusi wangapi pia walianza nae hiyo biashara ila sasa hawapo?

Shida ni serikali, ukiwa muwekezaji mweusi unapigwa sana vita, ila ukiwa na ngozi nyeupe unaonekana ndio unastahili
 
Ondoka madarakani ndio uone kama Nchi itaweza kuongozwa au lah....sasa madaraka yote umeshikiria wewe, utajuaje kama wengine wanaweza kuongoza au lah? Kiti cha madaraka umeshikiria wewe tangu tupate Uhuru, alafu unakashifu Vyama ambavyo hamtaki kivipa madaraka... Tukizungumzia umaskini wa nchi, lawama lazima ziangukie CCM, kwa sababu nyie ndio mmeshikilia madaraka tangu tupate uhuru, CCM ingekuwa ni mtu basi isingekuwa tofauti na Museveni
Sasa si bora kuendelea na CCM angalau tumeona kasoro zao na walipopatia kuliko kuachia nchi kwa watu ambao mwaka mzima ni malalamiko tu huku hawatoi suluhisho lolote. Mara nyingi mpinzani akifanya kosa majibu yake ni "mbona CCM wamefanya"? Kuna makada wangapi waandamizi wa upinzani wanaoongea mambo kitaalamu ukimtoa Lipumba na mara chache Zitto?
 
Hii nchi haiko chini ya autocracy (ufalme), hii nchi ni ya kidemokrasia kuruhusu mfumo wa vyama vingi kutawala... Hayo mambo ya Single party system tuliachana nayo mwaka 1992.

Tanzania ina Raia zaidi ya Millioni 60, kwenye hao raia wote unataka kusema viongozi wanaofaha wanatoka CCM tu?

Mitaani kuna viongozi wengi wazuri kuliko hao walioko CCM, na hawakupata fursa CCM kwa sababu muda mwingine huko CCM mnawekana madarakani kwa kujuana. Sasa hawa viongozi walioko mitaani wameamua kujiunga na vyama pinzani angalau waingie serikalini waifikishe nchi kwenye nchi ya ahadi lakini nao mmewaua ndoto zao.

Haya bunge lote limejaa wanaCCM ila mikataba inapitishwa bila kusomwa, mbunge anapiga kura ya kupitisha mkataba bila hata kujua kilichoandikwa... Alafu bado unataka tuendelee kuiamini CCM.
 
Sasa si bora kuendelea na CCM angalau tumeona kasoro zao na walipopatia kuliko kuachia nchi kwa watu ambao mwaka mzima ni malalamiko tu huku hawatoi suluhisho lolote. Mara nyingi mpinzani akifanya kosa majibu yake ni "mbona CCM wamefanya"? Kuna makada wangapi waandamizi wa upinzani wanaoongea mambo kitaalamu ukimtoa Lipumba na mara chache Zitto?
CCM inaenda kuanguka miaka ijayo kwa sababu vizazi vilivyozaliwa enzi za ujamaa vinaenda vinakufa. Vinakuja vizazi vya mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka ya 1990.

Usije kudhani CCM itadumu madarakani milele, miaka ijayo huko mpaka 2050 CCM itaanguka tu
 
mkoloni alimuandaa nani wewe? Hao akina Bakhresa walioanza kuwa wauza viatu vya kushona? Kwa nini hatutaki kutambua juhudi za watu kujikomboa lazima tuambatanishe na ukabila fulani?
Race ya bakhresa umeiona,ana uswahili kwani [emoji1]

Ova
 
Mkuu wao inawezekana wana strategies za kibiashara zaidi na wanasoma sana na wanakuwa na ushindani pia
Wana hamu ya kuwa na maisha ya juu na kuishi kwa furaha katika nchi yao

Ndio maana unakuta hata fraudsters wengi duniani ni wao wanacheza na kalamu sana ila ni wachapa kazi pia na majizi wamo sana
Wamewazidi sana akili wazungu kwa scammers
Sisi tuna tatizo moja mkuu elimu ya biashara hatuna kabisa na uongo na utapeli ni mwingi

Wengi wanafanya kazi bila akili
Angalia mafundi wa aina zote hebu niambie umewahi kukutana na fundi umeme ana gari lake ambalo limebeba vifaa vyake vitupu na anashuka na ngazi na vifaa
Au fundi seremala na tools zake zote
We fundi unampa kazi halafu anakuja hana hata nyundo

Unamuuliza una miaka mingapi kwenye kazi hii anakuambia aliachiwa na baba yake miaka 8 iliyopita na anadaiwa milango na madawati kila kona

Unategemea watafika mahali hao
Angalia mfano UK kuna makampuni ya watu binafsi wana maduka 650 nchi nzima
Sisi kuwa na maduka matatu tu huwezi unajua kwanini? Management
Wewe umefafanua vyema sana. Elimu ni muhimu. Kina Hushpupi pamoja na uhalifu wao ila walikuwa wamebobea kwenye elimu ya IT na Banking. Elimu, elimu, elimu.
 
CCM inaenda kuanguka miaka ijayo kwa sababu vizazi vilivyozaliwa enzi za ujamaa vinaenda vinakufa. Vinakuja vizazi vya mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka ya 1990.

Usije kudhani CCM itadumu madarakani milele, miaka ijayo huko mpaka 2050 CCM itaanguka tu
Huu uzi ni mkubwa sana kwa uwezo wako wa kufikiri. Nakushauri utumie tu emoji kutoa maoni yako badala ya kuandika vitu vilivyokaa kisiasa.
 
Mkuu wao inawezekana wana strategies za kibiashara zaidi na wanasoma sana na wanakuwa na ushindani pia
Wana hamu ya kuwa na maisha ya juu na kuishi kwa furaha katika nchi yao

Ndio maana unakuta hata fraudsters wengi duniani ni wao wanacheza na kalamu sana ila ni wachapa kazi pia na majizi wamo sana
Wamewazidi sana akili wazungu kwa scammers
Sisi tuna tatizo moja mkuu elimu ya biashara hatuna kabisa na uongo na utapeli ni mwingi

Wengi wanafanya kazi bila akili
Angalia mafundi wa aina zote hebu niambie umewahi kukutana na fundi umeme ana gari lake ambalo limebeba vifaa vyake vitupu na anashuka na ngazi na vifaa
Au fundi seremala na tools zake zote
We fundi unampa kazi halafu anakuja hana hata nyundo

Unamuuliza una miaka mingapi kwenye kazi hii anakuambia aliachiwa na baba yake miaka 8 iliyopita na anadaiwa milango na madawati kila kona

Unategemea watafika mahali hao
Angalia mfano UK kuna makampuni ya watu binafsi wana maduka 650 nchi nzima
Sisi kuwa na maduka matatu tu huwezi unajua kwanini? Management
Hao jamaa wanamipango,wachapakazi,
Wanajuwa kuendeleza Mali ya urithi
Ngozi nyeusi kazi kubaniana,kukomoana kufanyiana figisu tu

Ova
 
Back
Top Bottom