Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

Alafu kitu kingine, hata kama kwenu zipo utaambiwa katafute za kwako... Kupelekea watu Wengi kwenda kuanza maangaiko upya kujiinua, huku vya nyumbani ulivyokatazwa vikifa...

Ilitakiwa kama Baba ana mashamba makubwa watoto mkasomee kilimo cha biashara.

Kuliko unaambiwa kajitegemee, Mwishowe wote mnajazana Kariakoo
Mpaka familia ina kwambia katafute zako manake familia haina pesa kihivyo
Hawa ni matajiri hivi kwamba wameajiri maelfu ya watu kama taasisi za serikali zinavyoajili.

Mfanyakazi wa Bakhresa kitengo cha pesa hana tofauti na mfanyakazi wa serikalini kwenye kujiamini, wana pesa kiasi hicho.
 
Sii Watanzani wote angalia Wachaga wengi ni matajiri hadi wanamiliki Precision Air. AKIBA Commercial Bank
FAMILY SOAP industries Mabasi ABC BM DAR AND KILIMANJARO Express ni biashara nyingi kubwa nchi yote! Sema tz kuna makabila waswahili kazi ni kuchaza tu ngoma kama wazaramo ndo hawa wanaturudisha nyuma
 
Na wamasai wanaozungula na maelfu ya ng'ombe huku wakileta migogoro na kuharibu mazingira. Wazaramo wasilaumiwe kwasababu walishaamua kuwa maskini maishani mwao.
 
Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri

Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.

Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.

Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.

Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo

Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.

SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.

Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.

Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.

Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Hawahongi vyao.....
 
Mimi na wewe Tuko bize na umbeya jf

Wenzetu wanatafuta pesa Sisi tunatafuta maneno
 
Pembe zetu za ndovu
Mungu apishe mbali isje tokea siku moja wakasema wanapanua mipake na hasa hao wa Kiembe mbuzi
 
Kwahiyo mkoloni ndiye aliyewauzia mali za serikali kama viwanda, mashamba Kwa Bei ya kutupwa

Au unamaanisha mkoloni mweusi, watu wenye asili ya Asia walikuja Afrika mashariki na mitaji ya kawaida tu wengine tukawafirisi kwenye azimio la Arusha na wengine Bado wanapambana Kwa biashara za kati.

Ila Hawa wafanyabiashara wakubwa wametajirika kupitia udhaifu wetu na ujinga wa viongozi wetu
Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nne

Na walikuwa wanafanya biashara tokea miaka hiyo mpaka leo wajukuu zao ndio wanao ziendeleza mfano mo dewji

So wewe ambae ni kizazi cha kwanza na umeanza biashara miaka ya 2000 kamwe huwezi kuwa sawa na mhindi anaendeleza biashara ya tokea 1930 ilioasisiwa na babu yake

So waswahili kwa wahindi tunayo mengi ya kujifunza tuache silka ya kuwafukuza watoto wakimaliza chuo kwa kisingizio wakatafute vya kwao ilhali nyumbani kuna mali ambayo anaweza kuiendeleza.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hujusoma historiq kuwa waarabu na waajemi na wahindi walisafiri kuja Afrika mashariki karne ya 7. Babu yako ameanza kusafiru lini. Na kwenda wapi?
Babu zetu sisi wavantu walifanikiwa kumiliku ardhi yenye rutuba tu na kujilimia hapo vizazi na vizazi.
Hao ni wafanta biashara na gawakusnza leo.
Kitu cha pili mzungu yupo karibu ba weupe wenzake na sisi katuweka daraja la mwisho, hivyo basi wahindi na wazungu ni middlemen wa mzungu sasa hivi mchina.
Imagine MOE nu agent wa kuleta piki piki TZ kwa nini asiwe tajiri.
Waafrika hatuna uzoefu wa kusafirisha biashara tumeanza juzi juzi tu tena China.
Wenzetu wanajua exportation,.
Warabu na wahindi wame5nea dunia nxima ktk sekta ya biashara hivyo hupeana connection na deals. Wanaijeria wanesafiri sana, wamesoma sana, ni wengi sana kwa hio tayari wame gain exposure, exoerience nk. Nigerua ni risk taker na ndio maana Nigeria wanaviwanda vya magari disi hatuna.
Nigerian are among the group of smartest oeople in Aftica especually Igbo tribe.
Nugerua ina mafuta na ardhi nzuri yenye rutuba. Nigeria isengekuwa na puppet leaders ingekuwa kundi la top 20 richest countrues sawa na Japan , Korea.
 
Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nne

Na walikuwa wanafanya biashara tokea miaka hiyo mpaka leo wajukuu zao ndio wanao ziendeleza mfano mo dewji

So wewe ambae ni kizazi cha kwanza na umeanza biashara miaka ya 2000 kamwe huwezi kuwa sawa na mhindi anaendeleza biashara ya tokea 1930 ilioasisiwa na babu yake

So waswahili kwa wahindi tunayo mengi ya kujifunza tuache silka ya kuwafukuza watoto wakimaliza chuo kwa kisingizio wakatafute vya kwao ilhali nyumbani kuna mali ambayo anaweza kuiendeleza.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Tunaweza ku leapfrog kwa kuwekeza ktk teknolojia tu. Teknolojia ina nguvu ya kukuvusha hatua 100 mbele if you are dedicated.
 
Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri

Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.

Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.

Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.

Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo

Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.

SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.

Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.

Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.

Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Ni kwa sababu ndiyo rahisi kutumiwa na viongozi wetu wezi kutuibia na kutunza siri. Rejea skandali ya Chavda. Pia, ni kwa sababu waswahil tunachukiana kiasi cha kuacha kununuza wenzetu na kwenda kununua kwao wakati kwao ni kinyume. Mwisho ni kutokana na mifumo mibovu ya kikoloni tuliyorithi na watawala wetu wakaishikilia ili kututawala kikoloni kama ilivyo sasa ambapo rais ni ka muungu fulani
 
Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nne

Na walikuwa wanafanya biashara tokea miaka hiyo mpaka leo wajukuu zao ndio wanao ziendeleza mfano mo dewji

So wewe ambae ni kizazi cha kwanza na umeanza biashara miaka ya 2000 kamwe huwezi kuwa sawa na mhindi anaendeleza biashara ya tokea 1930 ilioasisiwa na babu yake

So waswahili kwa wahindi tunayo mengi ya kujifunza tuache silka ya kuwafukuza watoto wakimaliza chuo kwa kisingizio wakatafute vya kwao ilhali nyumbani kuna mali ambayo anaweza kuiendeleza.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu, huna unachokijua wahindi wangapi unaowafahamu utajiri wao umeanzia kizazi cha nne nyuma na mpaka Leo utajiri unavuka Dola million 100

Wahindi wengi walipoteana kipindi cha Nyerere, hao matajiri wakubwa wa kihindi unaowajua utajiri wao umeanza kipindi cha Mwinyi

Hata huyo mo dewji baba yake kacheza rafu nyingi sana kipindi cha Mwinyi na mkapa

Wahindi ni wafanyabiashara wazuri ndio lakini kwenye nchi za Africa mashariki utajiri wao umetokana na siasa zetu za kipuuzi
 
Mkuu hebu fafanua izo rafu tupate kujua zaidi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Elewa hawa wahindi unaowaona kwenye iz nchi zetu za africa mashariki mababu zao wapo east africa tokea 1890 hao unaowaona ni kizazi cha tatu hadi cha nne

Na walikuwa wanafanya biashara tokea miaka hiyo mpaka leo wajukuu zao ndio wanao ziendeleza mfano mo dewji

So wewe ambae ni kizazi cha kwanza na umeanza biashara miaka ya 2000 kamwe huwezi kuwa sawa na mhindi anaendeleza biashara ya tokea 1930 ilioasisiwa na babu yake

So waswahili kwa wahindi tunayo mengi ya kujifunza tuache silka ya kuwafukuza watoto wakimaliza chuo kwa kisingizio wakatafute vya kwao ilhali nyumbani kuna mali ambayo anaweza kuiendeleza.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wahindi walikuja 1890. Sisi tupo tangu lini?
 
Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri

Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.

Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.

Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.

Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo

Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.

SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.

Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.

Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.

Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?

Tuwekee list ya somalia inawezekana wanantu tuko na shida
 
Waafrika matajiri ni wanasiasa tu ambao wengi wao wametajirika kwa wizi, vita, rushwa na ufisadi.
 
Back
Top Bottom