Mbona Paul Makonda hayuko frontline kwenye camera kama zamani

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media.

Je kaamua kuwa low key au kuna mambo yanayomsibu, au ni kuwa busy na kazi za uwaziri na ubunge
 
kuimba kwa kupokezana....halafu wanafiki huwa hawaaminiani
 
Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media.

Je kaamua kuwa low key au kuna mambo yanayomsibu, au ni kuwa busy na kazi za uwaziri na ubunge
Za chini ya carpet-ana bifu na wakubwa wenziwe!
 
Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media.

Je kaamua kuwa low key au kuna mambo yanayomsibu, au ni kuwa busy na kazi za uwaziri na ubunge
Atakuwa yuko busy na majukumu yake au wewe unataka kusemaje...?
 
Back
Top Bottom