Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media.
Je kaamua kuwa low key au kuna mambo yanayomsibu, au ni kuwa busy na kazi za uwaziri na ubunge
Za chini ya carpet-ana bifu na wakubwa wenziwe!Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media.
Je kaamua kuwa low key au kuna mambo yanayomsibu, au ni kuwa busy na kazi za uwaziri na ubunge
Atakuwa yuko busy na majukumu yake au wewe unataka kusemaje...?Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media.
Je kaamua kuwa low key au kuna mambo yanayomsibu, au ni kuwa busy na kazi za uwaziri na ubunge