CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Kwa taarifa yako hizo hela unazojisifia kawaachia zitawatokea popote palipo wazi kwenye miili yenu.JIWE ameishaumaliza mwendo wake na katuacha wafuasi wake kibao. Wewe uliye hai si ajabuhata kuilisha familia yako huwezi. Watoto wako wanaona bora wangezaliwa na jirani! Ahahahahahah!
Kalishe watoto wako. Kama hukujipanga ukapigwa na maisha shauri yako. Sisi tulidunda enzi za JIWE, tunadunda kwa Mama na tutaendea kudunda kwa awamu nyingine zaidi. Ila wewe endelea kulalamika mpaka mkeo atakapochukuliwa na jirani! Ahahahahahahhahh!!!Kwa taarifa yako hizo hela unazojisifia kawaachia zitawatokea popote palipo wazi kwenye miili yenu.
Jiwe amemalizaje mwendo kwa mfano hata miaka 70 ya.biblia hakutoboa.
Sema jiwe amepita short cut.
Kalishe watoto wako. Kama hukujipanga ukapigwa na maisha shauri yako. Sisi tulidunda enzi za JIWE, tunadunda kwa Mama na tutaendea kudunda kwa awamu nyingine zaidi. Ila wewe endelea kulalamika mpaka mkeo atakapochukuliwa na jirani! Ahahahahahahhahh!!!
Ntajipangaje we dunya,wakati Huyo msukuma mwenzenu alitupiga pin mshahara haupand kwa miaka mitano,mpaka kodi aliifanya nayo ilipiwe kodi.Kalishe watoto wako. Kama hukujipanga ukapigwa na maisha shauri yako. Sisi tulidunda enzi za JIWE, tunadunda kwa Mama na tutaendea kudunda kwa awamu nyingine zaidi. Ila wewe endelea kulalamika mpaka mkeo atakapochukuliwa na jirani! Ahahahahahahhahh!!!
Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.
Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je, hana uwezo? Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.
Analalamika hovyo huko mitaani.
Kwa hiyo bado yupo huko.Au anaendelea kulalamika mitaani kama watoto wenye degree moja.Kama ana akili angekuwa ana pesa kama MO Dewji.Ana akili za. Kulalamika tu.Pitia hapa
Next time usipende kuropoka
Sikutegemea Prof mzima awe analalamika kama form six.Mfano wako ni mtoto wa Malecela tu?! Umri wa mtoto wa Malecela na Assad ukoje, je hizo nafasi za hizo taasisi za kimataifa ziko kungojea wanaotolewa kwenye taasisi za Tanzania ndio wakafanye kazi huko? Yaani umekuja na bandiko ukidhani unamshusha Prof Assad, kumbe umeanika ujuha wako tu hadharani.
Umri wake ulikuepo umeshafika above 60 years. Kuna wataalam wengi nchi hii kuanzia Dr na maprofesor wa uchumi .Assad Alikuepo above 60 ni mda wa kupumzika kwakeNdugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.
Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je, hana uwezo? Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.
Analalamika hovyo huko mitaani.
Mbona aliteuliwa kuwa msimamizi na makaguzi mkuu wa misaada inayotolewa na nchi za njeNdugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.
Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je, hana uwezo? Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.
Analalamika hovyo huko mitaani.
Analalamika hovyo huko mitaani.
Kwahiyo alipata deal lingine baada ya kutumbuliwa? Mbona jamaa anadanganya kwamba mshkaji hakuwahi kupewa deals za nje ya nchi? Tuachane na suala la maslahi kwanza, tujadiri hiSimuungi mkono Prof. Assad kwasababu naamini ni mpumbavu wa kiasi cha juu, lakini kwenye ukweli lazima tuuseme. Huyu Prof. Assad baada ya kujifanya mhimili na kutumbuliwa na JIWE aliajiriwa na Serikali ya Sweden kama Mkaguzi Mkuu wa pesa inayotolewa na Serikali naTaasisi za Sweden kwenye miradi mnalimbali nchini Tanzania. Ila kiukweli, maslahi yake sio kama alivyokuwa CAG ndio maana ana BIFU na JIWE! NJAA NA TAMAA NI MBAYA SANA!
Mzee alikuwa na roho mbaya Sana, Bora kafishwaHata kama angeteuliwa, nisingeshangaa jiwe kumuwekea kauzibe
Rejea ya Likwelile na Mulamula
View attachment 1749538
Akaendeleze roho mbaya yake huko huko..... bure kabisa.Mzee alikuwa na roho mbaya Sana, Bora kafishwa