Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

MdogoWenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Posts
554
Reaction score
916
Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.

Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.

Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.

Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaoneshwa.

Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.

Kwanini haonyeshwi.
 
Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.

Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.

Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.

Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaonyeshwa.

Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.

Kwa nini haonyeshwi.
Hapendi kuuza sura
 
@mmawia vipi leo mbn hujabonyeza rewind?
 
Komenti ya #14 watu wanazunguka mbaliiii hawataKi kugusa penye shida...
Kwa imani ya mama hawezi kukaa mbele ya wanaume inabidi awe nyuma yao, kwa cheo cha mama protokali za kiusalama mtu hatakiwi kukatiza mbele yake hivi hivi.....
Kwa mkanganyiko huu inabidi kamera ziwe off, ila ipo siku majibu yatapatikana likiwemo la Baba yetu kutoambana naye mara nyingi kama yalivyo "mazoea" yetu!
Ibada njema!
 
Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.

Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.

Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.

Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaonyeshwa.

Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.

Kwa nini haonyeshwi.
Kila siku Sara tano nyumbani
 
Back
Top Bottom