Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hakuna cha gender obstacle ni ulimbukeni tu wa uongozi,yani MTU unwongoza Nchi ambayo unajua kabisa watu wake wana abudu madhehebu tofauti tofauti na Katiba ina Sema Serikali haina dini halafu wewe unakwenda kutoa matangazo ya Serikali ndani ya nyumba ya Ibada hizo ni akili au matope??Usiingilie ibada za watu na taratibu zao. Gender obstacle. Nafikiri umeelewa.