Hapendi kuuza suraTumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.
Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.
Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.
Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaonyeshwa.
Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.
Kwa nini haonyeshwi.
Hakuwa mnafikiHaahaa, mbona kikwete yulikuwa hatuonyeshwi?
Mama Samia hana tabia za kupenda kuuza suraUsiingilie ibada za watu na taratibu zao. Gender obstacle. Nafikiri umeelewa.
Hana tabia kama jiweJinsia yake na hiyo dini
Anapenda balaa, tantalila kibao, ila yeye yote anayoagiza anachemka na hayatekelezwiMama Samia hana tabia za kupenda kuuza sura
Naona bado una mahaba na jiwe, kama vipi kunywa sumu nawe umfuate huko alikoAnapenda balaa, tantalila kibao, ila yeye yote anayoagiza anachemka na hayatekelezwi
Hapo sawa naona sasa umepress rewind. Umeathirika kisaikolijia wahi matibabu.Naona bado una mahaba na jiwe, kama vipi kunywa sumu nawe umfuate huko aliko
Wahi wewe mirembe maana naona bado jinamizi la jiwe linakusumbua.Hapo sawa naona sasa umepress rewind. Umeathirika kisaikolijia wahi matibabu.
Kila siku Sara tano nyumbaniTumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.