Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

Usiingilie ibada za watu na taratibu zao. Gender obstacle. Nafikiri umeelewa.
Hakuna cha gender obstacle ni ulimbukeni tu wa uongozi,yani MTU unwongoza Nchi ambayo unajua kabisa watu wake wana abudu madhehebu tofauti tofauti na Katiba ina Sema Serikali haina dini halafu wewe unakwenda kutoa matangazo ya Serikali ndani ya nyumba ya Ibada hizo ni akili au matope??
 
Haitakiwi kiongozi yeyote kwenda kuhutubia Taifa akiwa kwenye nyumba yake ya ibada..

Ibada ni suala lake binafsi..

Kutoa amri na kufukuza watu wakati unahutubia kanisani sio sahihi
 

Mijitu mishamba haioni kuwa hili ni tatizo...
 

Mijitu mishamba haioni kuwa hili ni tatizo...
 
Nchi (SERIKALI) yetu haina dini. Ila watu wake (RAIA) wa dini zao. Rais kama Raia no. 1 analijua hilo, kuonekana au kutoonekana kwenye TV ni utashi wake binafsi kwa mujibu wa IMANI YA DINI YAKE.
 
Weka akiba ya maneno ndugu, subiria baraza la idd utakuja kuleta mrejesho.
 
Nchi (SERIKALI) yetu haina dini. Ila watu wake (RAIA) wa dini zao. Rais kama Raia no. 1 analijua hilo, kuonekana au kutoonekana kwenye TV ni utashi wake binafsi kwa mujibu wa IMANI YA DINI YAKE
 
Ukiwa civilized educated wala uhitaji cameras Ili ukamilike.Labda tu ikiwa ulikuja mjini Mkubwa
 
Kwani mwrnda zake alikuwa kiongozi au mpenda masifa?
 
Umewahi kuingia Msikitini sehemu ya wanawake?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Siyo kila udwanzi aliokuwa akifanya mwendazake mama aige,anaenda church kuwasimanga wananchi utadhan watoto wake vile,lawama kila siku,sasa alikuwa anaenda for prayers au kudanga
Binafsi sijawah sikia mwananchi wa kawaida anaefanya kaz zake kwa halali anamlaumu JPM..ila ni wale wauza unga wa msoga, wapiga madeal wa miradi..wenye vyeti feki kama wewe (mana naamn huna hela wewe ndo mana unalalamika) lakini pia na wale waliozoea kubebwa bebwaa..hao ndo waliokuwa wanalalamika..
 
Nchi (SERIKALI) yetu haina dini. Ila watu wake (RAIA) wa dini zao. Rais kama Raia no. 1 analijua hilo, kuonekana au kutoonekana kwenye TV ni utashi wake binafsi kwa mujibu wa IMANI YA DINI YAKE
Baraza la Iddi ni mkutano na haupo katika taratibu za dini. Yani mtu kutokuswali ni dhambi ila kutohudhuria Baraza la Iddi sio dhambi.

In short Baraza la Iddi ni tamasha tu ambalo hata asiye Muislamu anaweza kuhudhuria, siyo Ibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…