Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?


Kimpango wako,aliekuwa anampenda yule labda ni wasukuma wenzake na wanufaika wake kama kina bashite,radical christians,bakwata wachumia tumbo,MATAGA na sukuma gang n.k,Mimi ndiyo Sina elimu ni mkulima wa korosho,and yes nilimchukia Sana alivyokuja kucheza na zao langu la korosho na kunipa umaskin,even though I know I WL soon or later die,it's okay it's a principle of life,but I was always praying that he should die first Ili nicelebrate,and guess what man,my prayers were honored by god,saiz analiwa na funza tuh huko
 
Wahi wewe mirembe maana naona bado jinamizi la jiwe linakusumbua.

Mama Samia ndiye rai wa JMT kwa sasa.
Kama hutaki basi hama nchi urudi kwenu rwanda.
Ushakua mmama wewe sio kwa taarabu hizo!
 

Thanks,

That's why Mimi najiuliza,alikuwa anaenda kufanya ibada au kudanga
 
Baraza la Iddi ni mkutano na haupo katika taratibu za dini. Yani mtu kutokuswali ni dhambi ila kutohudhuria Baraza la Iddi sio dhambi.

In short Baraza la Iddi ni tamasha tu ambalo hata asiye Muislamu anaweza kuhudhuria, siyo Ibada
Baraza la Iddi ni mkutano na haupo katika taratibu za dini. Yani mtu kutokuswali ni dhambi ila kutohudhuria Baraza la Iddi sio dhambi.

Hata hiyo kutokuswali hakuna dhambi yoyote. Ni swala ya Sunna iliyotiliwa mkazo tu sio Faradhi.
Ukiacha Faradhi ndio kuna dhambi ukiacha Sunna hakuna dhambi.
 
Je! Kama ana swali nyumbani! Huenda haendi msikitini!
 
Hili swali nabidi lijibiwe kiimaini zaidi,kwanza Mwenyezi Mungu ameamuru wanawake waswalie nyumbani na wanaume waswalie Msikitini. Mwanamke akiswalia nyumbani anapata thwawabu 7 mpaka11 na kuendelea akiswalia Msikitini anapata thwawabu 1,hii ni kutokana na kwamba Mwanamke anapopita njiani kwenda Msikitini kutokana na umbo lake limeumbwa kimitihani anawaingiza wanaume kwenye majaribu
Pili sababu Mwanamke ni Mlezi wa watoto akiswalia nyumbani watoto watajifunza kwake wangali wadogo.Swala inayoruhusiwa wanawake kwenda kuswali pamoja na wanaume ni Swala ya IDDY,nayo wanawake wataswali kwa umbali furani wakiwa nyuma ya wanaume
 
Kwa hiyo Idi imekaribia tutamuona mama Samia msikitini nyuma ya wanaume.

Maana camera zinafika kokote nyuma au mbele.

Swala inayoruhusiwa wanawake kwenda kuswali pamoja na wanaume ni Swala ya IDDY,nayo wanawake wataswali kwa umbali furani wakiwa nyuma ya wanaume
 

1. Sasa kama Muheshimiwa raisi anaenda kusali arudi Nyumbani kwake aoneshwa ili iweje?
2. Kwanza Suala la Ibada ni private hivyo kuoneshwa au kutokuoneshwa ni matakwa ya kiongozi mwenyewe
3. Pili, Viongozi huoneshwa kama kuna ujumbe wanataka kufikisha wakiwa nyumba ya Ibada
4. Umemtolea mfano Majaliwa yupo kwenye uwaziri mkuu zaidi ya miaka 6 ila amesha oneshwa live walau mara moja au Mbili kwa mwaka; unawezaje kumsema mtu aliyekaa kwenye uongozi kwa mwezi mmoja??
5. Usiingilie uhuru wa mtu na hamna mahali popote panapo mtaka kiongozi wa kitaifa kuongelea sehemu ya Ibada
6. Mwisho: Kwa taratibu za Kiislam wanaume ndio hupendelea kuongelea kwenye nyumba za ibada japo hata wao ni mara chache chache kuepuka mgongano wa kiimani
7. Nyongeza: kwa taratibu za kiislam, Muheshimiwa anaruhusiwa kusalia Nyumbani (akitaka) sasa atokee kwenye makamera ili iweje?
 
IDDY huswaliwa uwanjani haiswaliwi Msikitini,na kwa imani ya Mama na Uwanamke wake haruhusiwi kuongea kuongea msikitini wala kuutubia au kutoa Mawaidha,yaani Sauti ya Mwanamke imeumbwa kimtihani anaweza kumuingiza mwanaume kwenye majaribu.
Hujawai kuona unapita sehemu halafu mwanamke akaongea hata kama umuoni lakini kwa sababu ya Sauti yake ukaludi kuchungulia ili umuone sura
Kiujumla mwenyezi Mungu amewaumba wanawake kwa ufundi mkubwa angalia macho yao,tabasamu lao,ngozi ya ilivyokuwa nyororo,walivyotipwatipwa lakini bado hawanaa shukurani ndio kundi linaloongoza kwa kujibadilisha mili yao kuanzia kujichubua kusukia makatani kichwani kuacha mili yao uchi kuvaa nusu uchi.
Lakini mwanaume mwenye akili hawezi kwenda kumuowa yule mwanamke anayetembea uchi kama mbuzi na mkia wake zaidi huishiwa kuchezewa
 
Watu mnapenda kumuona Mama akisujudu sio lengo lenu mnataka kuona nini?
 
Maswali ya kitoto sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…