Mbona Rais Samia akienda msikitini TV hazimuoneshi?

Una uhakika kama anaenda huko msikitini?
 
Mama hapendi kuwekwa font fend kama ilivyokuwa kwa mwendazake
 
Isssue siyo Gender tu, bali
1... Ibada ni privancy
2... Utu na mamlaka havina ukaribu.
3... mama sio mpenda ujiko na sifa zisizo kwa taifa
 
Unataka uone anavyoinama au?
 
Mkuu imeandikwa usalipo ujifungie kwenye chumba chako mwenyewe na usiwe kama watu wa mataifa wenye kujionyesha
 

Wanawake wanasali nyumban mkuu
 
Mama Samia hana tabia za kupenda kuuza sura
Jana kazuia mpira wa Simba na Yanga,ili auze sura,haonyeshe jinsi anavyompatia mzee Mwinyi Benzi ya shiling 450πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜
 
Haitakiwi kiongozi yeyote kwenda kuhutubia Taifa akiwa kwenye nyumba yake ya ibada..

Ibada ni suala lake binafsi..

Kutoa amri na kufukuza watu wakati unahutubia kanisani sio sahihi
Nakuelewa sana The Boss
 
Leta picha ya Kikwete akiwa msikitini ana sali kama mantiki ya jibu lako imeegemea kijinsia.Ibada ni muunganiko wa mtu na Mwenyezi Mungu wake sio kujionesha.
 
Unaweza kukuta hata msikitini kwenyewe haendagi 🀷
 

 
Wai chatttle mkamfufue mungu wenu
 
Tulizoea mtu akifika ibadani lazima ahutubie
Ila siku zinaenda kasi sana,tumehasi kuona tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…