Mkome kumsonga songa Mama SamiaJk aliwashtua watu wakati alipoonyesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia dodoma. Awamu yake ya urais swala la kuhamia dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika urais inaonekana kama tumerudi dar kwani kila kitu yuko hapa dar. Amehutubia wazee wa dar juzi, amepokea hati za mabalozi dar juzi jumatano anaapisha wakuu wa mikoa dar. Mwenda zake shughuli dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema dodoma ndio mji mkuu.
Tunamuomba mama samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama magufuli. Wananchi walimpigia kura magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Ngoja uje ushughulikiwe humu...utaitwa Sukuma GangJk aliwashtua watu wakati alipoonyesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia dodoma. Awamu yake ya urais swala la kuhamia dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika urais inaonekana kama tumerudi dar kwani kila kitu yuko hapa dar. Amehutubia wazee wa dar juzi, amepokea hati za mabalozi dar juzi jumatano anaapisha wakuu wa mikoa dar. Mwenda zake shughuli dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema dodoma ndio mji mkuu.
Tunamuomba mama samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama magufuli. Wananchi walimpigia kura magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Maneno machache yenye maana nyingi Sana... great thinkingSiasa ni Sanaa na wanasiasa ndio wasanii wenyewe, kazi iendelee, maana inavyoonekana enzi za Magu kazi ilisimama kwa muda kidogo.
Umemsahau Rais wa Msumbiji, Rais wa Ethiopia.🤣Mbona makao makuu ni Dodoma ila Balozi wa China, Museveni na Rais wa Malawi waliwahi kutua Chato?
Viongozi walipoapishwa chato hukuona ehhJk aliwashtua watu wakati alipoonyesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia dodoma. Awamu yake ya urais swala la kuhamia dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.