Mbona Rais Samia anaturudisha Dar es Salaam wakati Makao Makuu ni Dodoma?

Kuna siku zingine Ikulu ilihamia Chato, usisahau hilo.
 
Wanadamu hawana jema!
 
Juzi nimeenda utumishi wanaita mji wa kiserikali.
Hakika wananchi ttafarijika kuona jitihada za kuhamia Dodoma zinaendelea na ikiwezekana kumalizika kwa Rais kuishi ikulu ya Dodoma.
 
Utajibiwa wewe ni sukuma gang🤣🤣Wakati hata huko usukumani hujawahi pasikia,Nyumbu na team Mafisadi wameungana kurudi kuila nchi Kwa Uma na mrija
 
Pumbaf
 


Mbona Mwendazake alikuwa akiapisha Mawaziri Chato na hamkusema, cha ajabu kipi SSH (Sasha) kuapisha Mawaziri Dar??

Kwani imeandikwa wapi kwamba shughuli za uapishaji ni lazima zifanyiwe Dodoma ???
 
Alishasema yy na Magu ni kitu kimoja, mbona hamumwelewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…