Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Wèwe usiyedanya umefanya nini kuleta katiba mpya ?!Mnadanganywa na hao wapiga domo wenu TL, Freeman, etc Kama mnataka katiba mpya tumieni njia ngumu lkn sio hiyo inayohubiriwa na wala raha. Hili nishawaambia.
Msekwa na timu yake ya watu wasiozidi 10 ndiyo wananchi ?!.Hujamurlewa na ngumu kuelewa unless unajua katiba ni nini
Btw katiba iliyopo ilitengenezwa na wananchi
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?
Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?
Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
Tupeane dalasa mkuu sijamuelewa kivipiHujamurlewa na ngumu kuelewa unless unajua katiba ni nini
Btw katiba iliyopo ilitengenezwa na wananchi
Ni maembe yale?Msekwa na timu yake ya watu wasiozidi 10 ndiyo wananchi ?!.
Elimu,Elimu,Elimu kwnaza hata kama sio wote ila nusu yake wakijua inatosha kwenda hatua nyingineKwa hiyo Kwa akili yako unadhani Kuna wakati utafika wa Kila raia kujua hayo?
Jambo kubwa ni kwamba wananchi wanatakiwa waulizwe Kisha watoe mawazo yao kuhusu namna wanatamani kuongozwa, katika maisha yao ya Kila siku.
Ameongea jambo la msingi sanaLeo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?
Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?
Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
"Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".Sasa nini kifanyike tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2025?
Vyama vingi ndani ya demokrasia ujamaa aisee hii imeendaSasa hivi tuna mfumo wa Vyama vingi.
Na janga baya sanaTumepigwa kama nchi
KISHA TUZOEA HUYO!Tabia zake za kike, hana uwezo wa kuongoza nchi Ni bora liende, siku ya siku atarudi Oman kwa wajomba zake Wala Zanzibar hawezi kukaa ndo maana wanajitahidi sana kuiba.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?
Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?
Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
Wewe ulitaka aseme vipi ndiyo asikuchanganye? Umeisoma hii habari ya leo:Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.
Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?
Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?
Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
Kwa hiyo unaokusudia kusema kwa kuwa maadili yameporomoka hatuhitaji katiba mpya? Au unamaanisha katiba ndiyo imeketa kuporomoka Kwa maadili?Wewe ulitaka aseme vipi ndiyo asikuchanganye? Umeisoma hii habari ya leo:
Binti iliyesemekana kapotea amerudi na mimba nyumbani
Mwanafunzi wa kidato cha tatu wilayani Arumeru mkoani Arusha mwenye umri wa miaka 15 ambaye alitoroka nyumbani kwao kwa zaidi ya siku 30, amerejea akiwa na ujauzito na kudai amefukuzwa na fundi Gereji aliyekuwa anaishi naye Kinyumba mkoani Kilimanjaro. Mwanafunzi huyo aliyetoroka na baadae...www.jamiiforums.com
Unakumbuka mama Samia jana kaongelea sana maadili kuporomoka Tanzania?
Kwanini utafsiri maneno niliyoyaandika utakavyo wewe?Kwa hiyo unaokusudia kusema kwa kuwa maadili yameporomoka hatuhitaji katiba mpya? Au unamaanisha katiba ndiyo imeketa kuporomoka Kwa maadili?
Iliyopo inawapa Marais wetu madalaka makubwa sana kiasi ambacho tukipata rais mpuuzi atatusumbua sana maana katiba imemfanya ni kana kwamba hawezi kukosea wakati yule ni mwanadamu tu.Kwanini utafsiri maneno niliyoyaandika utakavyo wewe?
Binafsi sitatiziki iwepo katiba ya zamani au iandikwe mpya.
Mona mama Samia kaunda tume za katiba na hivi hata leo kuna kikao chake, kama unataka kutowa maoni si uende kwenye vikao?
Wewe unataka katiba mpya kwani iliyopo ya Marehem Nyerere. ina tatizo lipi?
Na yeye akiwa mmoja wapo wa Wananch. Katiba ya Warioba,ndio imemuweka hapo halipo kama Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.. Yeye alikuwa makamu mwenyekiti wa katiba ya Warioba. Akitokea Zanzibar. Hapo awali akujulikana sana. Alitakiwa alitendea HAKI swala la katiba mpya.Duniani kote mchakato va Katiba ni wa Wananchi!
Tumepigwa pakubwa na tumekubali, labda Mungu afanye miujiza kama kkpindi kile la sivyo tutakomaTumepigwa kama nchi