Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

Mnadanganywa na hao wapiga domo wenu TL, Freeman, etc Kama mnataka katiba mpya tumieni njia ngumu lkn sio hiyo inayohubiriwa na wala raha. Hili nishawaambia.
Wèwe usiyedanya umefanya nini kuleta katiba mpya ?!
 
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.

Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.

Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.

Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?

Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?

Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
20230912_073856.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mwelewa anaposema hii nchi sio ya wanasiasa peke yao. Ila kwa kauli hii, naona itaenda kutupa mgombea binafsi pindi watakapomaliza mchakato wa kukusanya maoni. Rais anajua kama wote sio wanasiasa ila kwa sisi tusio wanasiasa tukitaka uongozi tunaambiwa tujiunge na vyama vya siasa wakati sio waumini wa vyama vya siasa ila waumini wa mtu mmoja mmoja. Ninachojua mimi wanasiasa ni walafi wanapenda kula bila kunawa. Wanataka serikali tatu kwanini sio moja? Wanajua zikiwa tatu nafasi zao kisiasa zitaongezeka, hii bajeti ya kuendesha serikali ya tatu ingetosha kuweka kwenye maendeleo kama shule,maji, barabara nk. Kuwe na dira ya taifa kikatiba, sio dira ya chama, dira ambayo hata mgombea binafsi itamuongoza nini afanye akiongeza na ubunifu utafanikisha kufikia maendeleo haraka. Kwangu mimi uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi wa serikali kuu uwe mwaka mmoja ili kupunguza gharama za uchaguzi. Wakishamaliza michakato yao vikao, makongamano, midahalo tuje tupige kura za maoni ili ilete maana halisi ya katiba wananchi. Kinyume na hapo ni utapeli wa kisiasa ili kutuhadaa.
 
Kwa hiyo Kwa akili yako unadhani Kuna wakati utafika wa Kila raia kujua hayo?
Jambo kubwa ni kwamba wananchi wanatakiwa waulizwe Kisha watoe mawazo yao kuhusu namna wanatamani kuongozwa, katika maisha yao ya Kila siku.
Elimu,Elimu,Elimu kwnaza hata kama sio wote ila nusu yake wakijua inatosha kwenda hatua nyingine
 
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.

Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.

Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.

Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?

Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?

Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
Ameongea jambo la msingi sana
 
Sasa nini kifanyike tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2025?
"Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".
By Jeff's O'Brien.
 
Yeye kauza bandari za Tanganyika bila kuwashirikisha Watanganyika (wananchi), ameuza Loliondo bila kuwapa elimu wala kuwashirikisha wamasai wala kusema tu amepokea nini toka kwa waarabu
 
Tabia zake za kike, hana uwezo wa kuongoza nchi Ni bora liende, siku ya siku atarudi Oman kwa wajomba zake Wala Zanzibar hawezi kukaa ndo maana wanajitahidi sana kuiba.
KISHA TUZOEA HUYO!
 
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.

Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.

Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.

Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?

Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?

Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!? Mama anataka kutulazimisha aendelee kutuongoza bila ridhaa yetu. Anazingumzia wananchi kuburuzwa haoni kuwa kwa katiba hii tuliyo nayo yeye anawaburuza Watanzania? Anataka apewe miaka mingine mitatu ya kutuburuza?

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.

Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa kuwa iliundwa na wanasiasa tena kakikundi kadogo tu ka wanasiasa.

Kwa mtazamo wangu wa kawaida kabisa ni kwamba katiba ni utaratibu ambao sisi raia tutakubaliana utumike kituongoza.

Yaani jinsi gani tutaweka na kuondoa uongozi, jinsi gani uongozi utawajibika kwa raia, kwani, na namna maslahi ya Kila mtu yatalindwa ndani ya nchi yetu.
Sasa haya yanahitaji utuelimishe nini!?

Kwa hiyo ccm imeongoza watu wasio ijua katiba kwa zaidi ya miaka 60 baada ya kuwadai sana 2014 wakatuletea pendekezwa tena huyuhuyu rais akiwa makamu mwenyekiti, Kwa hiyo walitaka KULETA katiba kwa mambumbumbu.!?

Kwani hii iliyopo elimu yake ilitolewa wapi wakati inaandikwa.?
Wewe ulitaka aseme vipi ndiyo asikuchanganye? Umeisoma hii habari ya leo:

Unakumbuka mama Samia jana kaongelea sana maadili kuporomoka Tanzania?
 
Kwa hiyo unaokusudia kusema kwa kuwa maadili yameporomoka hatuhitaji katiba mpya? Au unamaanisha katiba ndiyo imeketa kuporomoka Kwa maadili?
 
Kwanini utafsiri maneno niliyoyaandika utakavyo wewe?

Binafsi sitatiziki iwepo katiba ya zamani au iandikwe mpya.

Mona mama Samia kaunda tume za katiba na hivi hata leo kuna kikao chake, kama unataka kutowa maoni si uende kwenye vikao?

Wewe unataka katiba mpya kwani iliyopo ya Marehem Nyerere. ina tatizo lipi?
 
Iliyopo inawapa Marais wetu madalaka makubwa sana kiasi ambacho tukipata rais mpuuzi atatusumbua sana maana katiba imemfanya ni kana kwamba hawezi kukosea wakati yule ni mwanadamu tu.

Suala la kutoa maoni ni sawa lakini kama mheshimiwa hataki kuruhusu mchakato uanze hayo maoni nayatoa ili yatekelezwe wapi?
 
Duniani kote mchakato va Katiba ni wa Wananchi!
Na yeye akiwa mmoja wapo wa Wananch. Katiba ya Warioba,ndio imemuweka hapo halipo kama Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.. Yeye alikuwa makamu mwenyekiti wa katiba ya Warioba. Akitokea Zanzibar. Hapo awali akujulikana sana. Alitakiwa alitendea HAKI swala la katiba mpya.
 
Back
Top Bottom