GE2025 Mbona Ridhiwani hajatupwa ametupwa Fredy Lowassa!?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vipi.

Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.

Mimi ni mmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata Fredy Lowassa.

Kuna familia naziona wanafikiri ya kwamba watakuwa na nguvu na heshima, kwa muda mrefu ndani ya Nchi hii, sio kweli .
 
Hapo vip!!!
Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa,na hili ni kwasababu familia moja,inanguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.

Mimi nimmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata fredy Lowassa.

Kuna familia nazio wanafikiri yakwamba watakuwa na nguvu na heshima, kwa muda mrrfu ndani ya Nchi hii..sio kweli .

Wanamtandao wamemfanyia UHUNI...#KATAA_WAHUNI.
 
Siasa za 2030.

Hawataki timu Lowasa kukinukisha ndani ya chama.

Nchimbi ni timu Lowasa, akikutana na akina Freddy Lowasa wanaweza kuibua vibe kama ya 2015 na kusababisha timu Msoga isiweke mtu wao 2030.

Hii itume meseji kwa Nchimbi kuwa, amepewa umakamu na network yake kuzimwa ili aishie kushika mikasi tu ya kufungua miradi lakini 2030 anastaafishwa rasmi kama Mpango
 
Hayo maswali ya MaCCM sisi hayatuhusu! Sisi tarehe 29/10 tuna jambo letu. Safari hii mabomu ya machozi, maji ya washawasha na risasi zitapigwa ndani ya vituo vya kupigia kura! Wamemwaga Ugali na sisi Tunamwaga mboga!
 
Vibaya mno naanza jifunza kulenga kwa manati
 
Historia itajirudia, watakapoamua kuunda team ridhiwani kutakua na timu Fredy tayari ndipo atapita MTU neutral katikati. Fredy ajichunge tu mienendo yake, usalama wake na afya yake.
 
Siasa za 2030.

Hawataki timu Lowasa kukinukisha ndani ya chama.

Nchimbi ni timu Lowasa, akikutana na akina Freddy Lowasa wanaweza kuibua vibe kama ya 2015 na kusababisha timu Msoga isiweke mtu wao 2030.

Hii itume meseji kwa Nchimbi kuwa, amepewa umakamu na network yake kuzimwa ili aishie kushika mikasi tu ya kufungua miradi lakini 2030 anastaafishwa rasmi kama Mpango
Hii maana yake ni kwamba , Siasa za Jesca hazitaenda mbali, Hata za Makonda pia…

Sababu ni zile zile .
 
Hapo vipi.

Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.

Mimi ni mmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata Fredy Lowassa.

Kuna familia naziona wanafikiri ya kwamba watakuwa na nguvu na heshima, kwa muda mrefu ndani ya Nchi hii, sio kweli .

Wacha waumizane wenyewe.
 
Back
Top Bottom