Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Hata kama ni nyota, hana nyota kama ya Baba yake.Nguvu ya kiongozi sio kutawala jukwaa bali ni nyoto..anaweza akawa bubu akachaguliwa.
Hata kama ni nyota, hana nyota kama ya Baba yake.Nguvu ya kiongozi sio kutawala jukwaa bali ni nyoto..anaweza akawa bubu akachaguliwa.
Baba yake Fredy alipendwa na ugonjwa wake, pamoja na udhoofu wake bado watu walimshangilia kwa 'mafuriko'. Haikuwa Kwasababu ya uwezo wa kulitawala jukwaa ambao ulishaporomoka tayari kwa hali yake kiafya, la hasha! Ni 'the story behind'. Mkuu Matola naona unasahau kabisa watanzania ni watu wa aina ganiFredy hana influence kwenye siasa, ujuwe mbali ya pesa inabidi wewe binafsi uwe political figure kweli.
Nape Nnauye Baba yake amekufa maskini anakaa nyumba ya kupanga hata Msiba wa Mzee Nnauye aliubeba Makamba ukafanyika nyumbani kwake, lakini Nape amepambana kama mwanasiasa na siyo tu kubebwa na jina vitu ambavyo Fredy hana wala hawezi kulitawwla jukwaa.
Haya maujinga angefanyiwa Nape na amerithi utajili ni kweli ningesema anaweza kuja na come back.
Siasa za 2030.
Hawataki timu Lowasa kukinukisha ndani ya chama.
Nchimbi ni timu Lowasa, akikutana na akina Freddy Lowasa wanaweza kuibua vibe kama ya 2015 na kusababisha timu Msoga isiweke mtu wao 2030.
Hii itume meseji kwa Nchimbi kuwa, amepewa umakamu na network yake kuzimwa ili aishie kushika mikasi tu ya kufungua miradi lakini 2030 anastaafishwa rasmi kama Mpango
Yote unayosema juu ya Freddy ni Kweli kabisa,jamaa siasa hawezi ,wanaomtetea nadhani hawamfamu kama wewe unavyowasaidia kumfahamuHata kama ni nyota, hana nyota kama ya Baba yake.
Wananchi wanaitaji mtu anayejua kuongea au mwenye uwezo wa kuwaletea maendeleo hata asipo ongea..mdomo unamsaaga gani?kwenye mambo yanayotaka vitendo..Yote unayosema juu ya Freddy ni Kweli kabisa,jamaa siasa hawezi ,wanaomtetea nadhani hawamfamu kama wewe unavyowasaidia kumfahamu
Kugis wanakula mtandao 😆Mtandao umeshamezwa ana Kalasinga 😂
Imeisha hiyo
Mtandao umeshatupwa nje ya chama😂Kugis wanakula mtandao 😆
Wazalendo wametupwa nje ila wanamtandao tutakuwa nao hadi mwisho wa nchi awangoki ng'o!Mtandao umeshatupwa nje ya chama😂
Asha Rose kakulia hapo Mikumi magomeniWazalendo wametupwa nje ila wanamtandao tutakuwa nao hadi mwisho wa nchi awangoki ng'o!
MwanamtandaoAsha Rose kakulia hapo Mikumi magomeni
Kitambo sana 😂😂🙏
Kabla ya 2010 😂😂😂✔️Mwanamtandao
Lakini alitengwa sana au alikuwa behind the scene?Kabla ya 2010 😂😂😂✔️
Mtandao ulipogawanyika Asha alibaki upande wa Serikali na almanusura awe Rais 2015 kama Lupaso asingeingilia kati na kumchomeka shujaa 😄Lakini alitengwa sana au alikuwa behind the scene?
Kwaiyo tumuweke kwenye kundi la wanamtandao au mzalendo au vyote kwa pamoja( hybrid)Mtandao ulipogawanyika Asha alibaki upande wa Serikali na almanusura awe Rais 2015 kama Lupaso asingeingilia kati na kumchomeka shujaa 😄
Chotara 😄🙏Kwaiyo tumuweke kwenye kundi la wanamtandao au mzalendo au vyote kwa pamoja( hybrid)
ChotaraChotara 😄🙏