GE2025 Mbona Ridhiwani hajatupwa ametupwa Fredy Lowassa!?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Historia itajirudia, watakapoamua kuunda team ridhiwani kutakua na timu Fredy tayari ndipo atapita MTU neutral katikati. Fredy ajichunge tu mienendo yake, usalama wake na afya yake.
Fredy siyo mwanasiasa ameingia tu kwenye huo ujinga kwa influence ya Baba yake.

Kama ningekuwa mshauri wake ningemshauri kukaa mbali na siasa aendeleze utajili wa Baba yake, lakini siasa ndio protection ya mali zao basi sina cha kumshauri, siasa za Tanzania za kipuuzi sana.
 
Yani Baba Revo ana uwezo wa kumzidi Freddy?

Kwanza mtu mwenye pesa kwa nini asipige pombe na nyama choma? Hoja nyingine za kimaskini tu mbona mama mwenyewe anapiga mitungi?
Kwani Fredy anatumia pesa zao?...George Washington biashara yake ilikuwa nipombe na anakunywa haswa kabla ajawa rais...wazungu wangekuwa na fikra kama za mtu mweusi wasingepata viongozi bora..anaweza asiwe mlevi ila akawa fisadi,malaya,muuza dawa za kilevya,mchawi,muuwaji n.k
 
Mmoja ana Baba huku mwingine Baba keshasalitiwa akiwa hai hadi kaburini
 
Fredy siyo mwanasiasa ameingia tu kwenye huo ujinga kwa influence ya Baba yake.

Kama ningekuwa mshauri wake ningemshauri kukaa mbali na siasa aendeleze utajili wa Baba yake, lakini siasa ndio protection ya mali zao basi sina cha kumshauri, siasa za Tanzania za kipuuzi sana.
Sasa huyo ndo atawakosha zaidi watanzania kuliko ridhiwani ambaye bado anakingiwa kifua na baba yake.

Hii kitu imeshaingia kwenye damu, lazima wa-avenge. Ni hatari ila ndo maisha walioyachagua

Asilimia kubwa ya watanzania bado ni, na wanazidi kuwa wapuuzi hivyo siasa za nchi hiyo hazina budi kufwata mkondo.
 
Fredy hana influence kwenye siasa, ujuwe mbali ya pesa inabidi wewe binafsi uwe political figure kweli.

Nape Nnauye Baba yake amekufa maskini anakaa nyumba ya kupanga hata Msiba wa Mzee Nnauye aliubeba Makamba ukafanyika nyumbani kwake, lakini Nape amepambana kama mwanasiasa na siyo tu kubebwa na jina vitu ambavyo Fredy hana wala hawezi kulitawwla jukwaa.

Haya maujinga angefanyiwa Nape na amerithi utajili ni kweli ningesema anaweza kuja na come back.
 
Hapo vipi.

Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.

Mimi ni mmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata Fredy Lowassa.

Kuna familia naziona wanafikiri ya kwamba watakuwa na nguvu na heshima, kwa muda mrefu ndani ya Nchi hii, sio kweli .
Yuko kwenye training ya kuwa rais ajaye
 
Nguvu ya kiongozi sio kutawala jukwaa bali ni nyoto..anaweza akawa bubu akachaguliwa.
 
Hapo vipi.

Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.

Mimi ni mmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata Fredy Lowassa.

Kuna familia naziona wanafikiri ya kwamba watakuwa na nguvu na heshima, kwa muda mrefu ndani ya Nchi hii, sio kweli .
Kikwete anaogopa Vita yake na mzee Lowasa itahamia kwa watoto.

Kama ilivyo kwa Odinga na Kenyata.
 
Back
Top Bottom