Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!!!
Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa,na hili ni kwasababu familia moja,inanguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.
Mimi nimmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata fredy Lowassa.
Kuna familia nazio wanafikiri yakwamba watakuwa na nguvu na heshima, kwa muda mrrfu ndani ya Nchi hii..sio kweli .
Ila ninawashauri watu wote wanaofanyiwa uhuni kama huu,ikifika kipindi chao cha nguvu wasije wakawasamehe hawa watu.watendee maradufu ya haya na wasiwe na huruma juu yao asilani.Wanamtandao wamemfanyia UHUNI...#KATAA_WAHUNI.
Wangeanza kwa RidhiwaHii tabia ya kurithishana majimbo kwa baba kwa mtoto ni ya kibinafsi sana
Mtandao umeshamezwa ana Kalasinga 😂Wanamtandao wamekula mtoto wao
Ni mlevi sana, akiwa hajanywa ujue ana hangover ya pombelabda historia yake ya ulevi...
au labda uwezo mdogo...
Bora historia ya ulevi kuliko ya muuza madawa ya kulevya,huyu ametutengenezea mateja wengi sana na kuuwa hatima ya vijana wengilabda historia yake ya ulevi...
au labda uwezo mdogo...
Vibaya mno naanza jifunza kulenga kwa manatiHayo maswali ya MaCCM sisi hayatuhusu! Sisi tarehe 29/10 tuna jambo letu. Safari hii mabomu ya machozi, maji ya washawasha na risasi zitapigwa ndani ya vituo vya kupigia kura! Wamemwaga Ugali na sisi Tunamwaga mboga!
Ulevi wa Fredy ni dhahiri...Bora historia ya ulevi kuliko ya muuza madawa ya kulevya,huyu ametutengenezea mateja wengi sana na kuuwa hatima ya vijana wengi
Hii maana yake ni kwamba , Siasa za Jesca hazitaenda mbali, Hata za Makonda pia…Siasa za 2030.
Hawataki timu Lowasa kukinukisha ndani ya chama.
Nchimbi ni timu Lowasa, akikutana na akina Freddy Lowasa wanaweza kuibua vibe kama ya 2015 na kusababisha timu Msoga isiweke mtu wao 2030.
Hii itume meseji kwa Nchimbi kuwa, amepewa umakamu na network yake kuzimwa ili aishie kushika mikasi tu ya kufungua miradi lakini 2030 anastaafishwa rasmi kama Mpango
Hapo vipi.
Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.
Mimi ni mmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata Fredy Lowassa.
Kuna familia naziona wanafikiri ya kwamba watakuwa na nguvu na heshima, kwa muda mrefu ndani ya Nchi hii, sio kweli .
wewe ndio umemtaja ...sisi tunajadili hoja na sio kutaja mtu.Ulevi wa Fredy ni dhahiri...
Nani anaweza kuthibitisha Riz anauza dawa...
Yani Baba Revo ana uwezo wa kumzidi Freddy?labda historia yake ya ulevi...
au labda uwezo mdogo...