GE2025 Mbona Ridhiwani hajatupwa ametupwa Fredy Lowassa!?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Baba yake Fredy alipendwa na ugonjwa wake, pamoja na udhoofu wake bado watu walimshangilia kwa 'mafuriko'. Haikuwa Kwasababu ya uwezo wa kulitawala jukwaa ambao ulishaporomoka tayari kwa hali yake kiafya, la hasha! Ni 'the story behind'. Mkuu Matola naona unasahau kabisa watanzania ni watu wa aina gani
 
Unachukulia poa Nchimbi sio
 
Ridhiwani kikwete sasa hivi anatembelea upepo wa faza ambaye kwa sasa ni Rais wa nchi behind the scene
 
Uzuri kubautabiri wa sheikh fulan simkumbuki jina.Alitabiri ipo siku Kuna mwanamke atarithi na kutawala kipindi kimoja tu Cha alichorithi na baada ya hapo atapatikana mzalendo wa Hali ya juu kuinyoosha Nchi.Hao wanamtandao na wahuni wanaotuvurugia Nchi mwisho wao uko karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…