GE2025 Mbona Ridhiwani hajatupwa ametupwa Fredy Lowassa!?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kikwete ameapa kuwa hatakaa apumzike hadi siku Ridhwani anapigiwa mizinga 21, anayenuna anune tu yeye ndiyo mipango yake hiyo na ni lazima itimie.
 
yatima hadeki
 
Kulikuwa na mwingine? Yaani angetupwa CCM isiweke mgombea?
 


Baba wa mtandao ni Kikwete. Ukifa Tanzania ndiyo hivyo na marafiki fake
 
Yani Baba Revo ana uwezo wa kumzidi Freddy?

Kwanza mtu mwenye pesa kwa nini asipige pombe na nyama choma? Hoja nyingine za kimaskini tu mbona mama mwenyewe anapiga mitungi?
Ushahidi please.
 
Uhuru Kenyatta sio mtungi tu, na nyasi pia lakini aliingia jumba jeupe tena for two solid terms. Hayati Ben wetu naye alikuwa hodari kwenye 'kamjamaa'.

Twende mambele huko kwa walevi waliokubuhu kama kina Yeltsin, Churchill, Nixon n.k

Anayeshinda uchaguzi ni yule mwenye ushawishi/mvuto zaidi ya mwenzie/wenzie.
Ukishawishika na anayelitawala jukwaa zaidi utampigia kura yako. Swali ni Je! Wananchi walio wengi wanavutiwa na kipi? Skendo, ucheshi, Pesa, maneno, muonekano na mambo mengine mengi. Mwisho wa siku tunasema nyota.
2015 Mbowe alibadili gia angani na wote waliokuwa ndani ya chadema walibariki hekima yake including aliyekuwa mnadhimu mkuu wa chama wakati huo ambaye leo ni mwenyekititi Tundu Lissu. Slaa peke yake ndo alishindwa kumeza hilo
 
Duh yaani unahoji hata Fred Lowassa kukatwa?.. vitu vingine muwe hata mnafuatilia mitaani, jamaa imeshakuwa too much, anahitaji counseling zaidi kuliko hiyo kazi.

safarini Khartoum Sudani
 
Duh yaani unahoji hata Fred Lowassa kukatwa?.. vitu vingine muwe hata mnafuatilia mitaani, jamaa imeshakuwa too much, anahitaji counseling zaidi kuliko hiyo kazi.

safarini Khartoum Sudani
Swali, kwa nini hakukatwa jina kwenye mchujo? Na kwa nini wanaccm jimboni kwake wamemkubali kwa kura nyingi?
 
2030 Ridhiwani hatakuwemo kwenye kinyang'anyiro cha urais. Rais ajaye sio mkatoliki na makamu wake ni kutoka huko visiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…