Ukweli usemwe tu, tumezoea kulalamika sanaNoma sana kwahio umeme gani huo unaopatikana adi tunapongezwa
Hilo ccm wamelijua na ndiyo maana wamewaondoa hao waswahili wasanii na kuwaweka wachapa kazi, watoto wa wakulima kubeba zigo hilo. Hawa wachapakazi watakuwa wamelimaliza hili tatizo la mgawo wa umeme ifikapo mwezi January 2023, yaani ndani ya miezi miwili tu tangu wapewe kazi hiyo na kudhibitisha usemi wa wahenga kwamba Mzigo mzito mupe Mnyamwezi kuubeba.Wananchi tumepiga kelele kwa kukosa nishati ya umeme kwa shughuli za kiuchumi lakini tumedanganywa sana na uongozi wa Serikali ya Tanzania kuwa tatizo la umeme ni suala la muda tu.
Mpaka sasa wananchi bado tunateseka hivyo natoa kauli kwa wote kuwa tuiondoe CCM madarakani kupitia kura zetu.
Tumechoka.
Umepoteaa saana dadaKweli
Hakuna kitu kama hicho, ingekuwa Ulaya labda!, lakini Bongo mbona tumezoea!. Kwani hii ndio mara ya kwanza?. Wengi tumezaliwa vijijini umeme tumekuja kuukutia shule!.Mpaka sasa wananchi bado tunateseka hivyo natoa kauli kwa wote kuwa tuiondoe CCM madarakani kupitia kura zetu.
Tumechoka.
Umepoteaa saana dada