monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,251
- 11,446
hujui kuwa kuna freebasic mkuu?Hela ya kununua bundle unapata wapi
hujui kuwa kuna freebasic mkuu?Hela ya kununua bundle unapata wapi
Nikiuza simu nitakuwa mpweke zaidi
Simu ndio faraja yangu
Ndio rafiki yangu wa kudumu
Ndio tunapiga nae Story
Nikiuza nitakuwa nimejitoa kwenye raman
Ila kama maisha yanamsumbua si aachane nayo kwa muda afanye mambo mbadala then akishajiweka sawa ayarudie? Simple!Uza simu. Ununue chupi utembeze maofisini.
Miaka 26 hutakiwi kulalamika kabisa, shida kubwa mnataka luxurious life kwa kulinganisha mbona wengine wanaishi.
Ili ufanikiwe unatakiwa uondoke kwenye comfort zone. Si utanunua baadae?Uza ununue ya elfu 20 ya kuwasiliana na wateja.Nikiuza simu nitakuwa mpweke zaidi
Simu ndio faraja yangu
Ndio rafiki yangu wa kudumu
Ndio tunapiga nae Story
Nikiuza nitakuwa nimejitoa kwenye raman
Kuna watu walipata maisha wakiwa hawana umri,umri ukawafuata baadaye,kadhalika kuna waliopata umri bila maisha,maisha yakawafuata nyuma.Kuanzia miaka mingapi ndio sawa mtu kulalamika?.
Asante lakini sijaelewa.Kuna watu walipata maisha wakiwa hawana umri,umri ukawafuata baadaye,kadhalika kuna waliopata umri bila maisha,maisha yakawafuata nyuma.
Inatakiwa watu wapungue angalau nusu ya waliopo duniani maana hali si nzuri kabisa!
Victoire kuna tatizo kubwa sana linalotukumba na chimbuko kuu ni mfumo wetu wa elimu kwa ujumla tokea ngazi ya awali.Ili ufanikiwe unatakiwa uondoke kwenye comfort zone. Si utanunua baadae?Uza ununue ya elfu 20 ya kuwasiliana na wateja.
Kwa uchache mtu kama Mo Dewji wa Simba ama watoto wa Bi Jaqueline na Mzee Mengi hawa ni kwamba walikuta maisha yapo kisha ndipo wakaanza kusherehekea birthday ya kwanza pili an so on, ila kuna watu kama kina H.E President George Weah ambao wame hustle sana na kupitia vikwazo vingi ila mwishoni ndipo wakajapata maisha wakati umri unasoma mileage za kutosha.Asante lakini sijaelewa.