Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,897
- 3,669
Duu, umeongea maneno mazuri ya faraja!!Tochi inawashwa pasipo na taa,balbu inawashwaa panapo umeme, taa za gari huwashwa sehem na wakati maalum.
Usijal wenzako wanapo-shine ww ni mshindi unawashwa sehem maalum na wakati maalum
Muda wako wa kuwashwa haujafika. ww utakuwa na maisha, usiwaze nakupa miaka mitano kwanza mingi sana,wewe ni mshindi unaenda kuanza maisha na utainjoi zaid, unapitia ktk kipindi hiki il upate akili zaid nahata ukishika hela unakuwa na uchungu nae utatumia vizur,
Hujazaliwa kuwa masikin, hutabaki kama ulivyo unaoneshwa tu jinsi maisha yalivyo na pande mbili, ili kesho ukipata msidharau aliekosa ukamuona sio mchacharikaji. Usiwaze jitume,heshima na nidham
#see you at the top#
Sio muhusika yaan mtoa maada ila nimejifunza kitu.