Duu, umeongea maneno mazuri ya faraja!!Tochi inawashwa pasipo na taa,balbu inawashwaa panapo umeme, taa za gari huwashwa sehem na wakati maalum.
Usijal wenzako wanapo-shine ww ni mshindi unawashwa sehem maalum na wakati maalum
Muda wako wa kuwashwa haujafika. ww utakuwa na maisha, usiwaze nakupa miaka mitano kwanza mingi sana,wewe ni mshindi unaenda kuanza maisha na utainjoi zaid, unapitia ktk kipindi hiki il upate akili zaid nahata ukishika hela unakuwa na uchungu nae utatumia vizur,
Hujazaliwa kuwa masikin, hutabaki kama ulivyo unaoneshwa tu jinsi maisha yalivyo na pande mbili, ili kesho ukipata msidharau aliekosa ukamuona sio mchacharikaji. Usiwaze jitume,heshima na nidham
#see you at the top#
Kupitia hicho kikombe sio tatizo, tatizo ni kama hauko katika mchakato wowote wa kuondokana nacho. Unatakiwa ufe ukijaribu kuondokana nacho.Omba Mungu akuepushe na kikombe Cha wagaa gaa.
Dah!...Chagua Magufili maisha yatazidi kuwa rahisi
Huoni corona alitengenezwa kupunguza.Inatakiwa watu wapungue angalau nusu ya waliopo duniani maana hali si nzuri kabisa!
Wanasiasa hawakupi kula mkuu..28 oct sio mbali chagua maisha yako yaweje.je yaendelee kama yalivyo sasa au chagua Lissu maisha bora yaja..
...🙏🙏🙏Tochi inawashwa pasipo na taa,balbu inawashwaa panapo umeme, taa za gari huwashwa sehem na wakati maalum.
Usijal wenzako wanapo-shine ww ni mshindi unawashwa sehem maalum na wakati maalum
Muda wako wa kuwashwa haujafika. ww utakuwa na maisha, usiwaze nakupa miaka mitano kwanza mingi sana,wewe ni mshindi unaenda kuanza maisha na utainjoi zaid, unapitia ktk kipindi hiki il upate akili zaid nahata ukishika hela unakuwa na uchungu nae utatumia vizur,
Hujazaliwa kuwa masikin, hutabaki kama ulivyo unaoneshwa tu jinsi maisha yalivyo na pande mbili, ili kesho ukipata msidharau aliekosa ukamuona sio mchacharikaji. Usiwaze jitume,heshima na nidham
#see you at the top#
Kwani amekwambia anashida ya kula..Wanasiasa hawakupi kula mkuu..
Kazana tu kwenye kutafuta mwenyewe...shida vijana mnawaza maisha matamu ghafla.
Maana yake umeelewa auDah!...
Hapana mkuu,Maana yake umeelewa au
Mbona sasa inatukwepa huku tanzania 😢Huoni corona alitengenezwa kupunguza.
Kuliko watu 1,000 wateseke wote bora wafe 500 alafu 500 waliobaki wafurahiTupungue tuende wapi akomae tu maisha magumu sana
Wewe dada yangu kipenzi. Mpakwa mafuta.Uza simu. Ununue chupi utembeze maofisini.
Hao hawajui tu vile cm inafarijNikiuza simu nitakuwa mpweke zaidi
Simu ndio faraja yangu
Ndio rafiki yangu wa kudumu
Ndio tunapiga nae Story
Nikiuza nitakuwa nimejitoa kwenye raman
Umejuaje mremboo? We si unafanya kaziHuku mtaani ni soo usipime
Taja Saizi yako uumpe odaUza simu. Ununue chupi utembeze maofisini.
Hii biashara watu wanaidharau kweli kweli, ila pesa iliyomo ndani acha tuUza simu. Ununue chupi utembeze maofisini.
Ndio dear nafanya kazi, but mi mwenyewe vitu navyovitamani au ndoto zangu naona hazitimii walahUmejuaje mremboo? We si unafanya kazi