Wachezaji kiuwastani huwa ni 30.
makombe ni yafuatayo:
1.Ligi kuu mechi 30,
2.Caf champions league ni mechi 8-10 ( hapo kajitahidi sana)
3.Mapinduzi cup
by average mechi 6,
4.Cecafa Senior Clubs 6,
5.Azam cup by averag 6,
6.Sportpesa Cup, mech 5
7.Community shield 1,
8.Local & international friendlies mechi 7,
(Simba day zipo timu zitaalikwa)
9.international assignment kwa wachezaji watakaoitwa kwny mataifa yao
Kwahyo endapo simba wakisema washiriki mashindano yote for 100% watacheza wastani wa mechi 70.
Najua hawatashiriki kwa asilimia zote either kwa kutaka au kutotaka.
Yapo mashindano hawana hiari kwao kushiriki mfano ni premier ligi, Caf na mapinduzi.
Kwa vyovyote iwavyo simba hawatacheza mechi chini ya 50.
Extension ya kikosi siyo mbaya ikifanywa kwa weledi.
Kwanza kuna departure za viungo wawili tegemezi..(chama na luis)
lazima nafasi zao zizibwe ktk zile nafasi 10.
Kahata, chikwende na kagere nao hawajapewa contract renewal hizo ni nafasi tupu 3 nyngne.
Zipo nafas nyngne 2 zimeongezwa na tff kwa foreignors jumla 7.
Bado kuna local players kwa utashi wao wamekimbia squad mfano ni ajib.
Wapo veteran ambao hawawezi tena kuhimili dakika 90