Mbona sipati wateja kwenye tovuti yangu ya Elimu (course website)

Nilishafanya people Zina click tu lakini sioni chochote. Nimeshachange Mara kadhaa from ya kuuza tu ya free lakini bado naona mapicha picha
Wabongo wanapenda sana intertainment kuliko educational issues so inabidi uumize kichwa app yako iwe mixed education vs intertainment at the same time hapo kidogo italeta attention kwa viewers maana hata hao wanafunzi wenyewe unaowatarget wako busy kufuatilia habari za Diamond na Zuchu shida ndio inaanzia hapo.
 
Hizi taarifa ulizoweka hapa ni sahiiNatarajia

Kiongozi umenena
 
unatumia njia gani kutafuta wateja?
 
App yako inamapungufu mengi sana . Msiwe mnakimbilia kuziweka public app bila ya kushirikisha wafu wa karibu yako wakupe mtazamo .. ni aina ya app mtu akidowload baada ya dakika 5 za matumizi anaifuta..

Shirikisha watu wakupe maoni namna ya kurekebisha vitu au Lah..
Umesema inahusu kujifunza kiswahili bado tena unaweka vitabu unauza..

Target yako ni pesa Kabla ya hata hatujajua mlazi atapenda chakula au lah

Fanya marekebisho kisha rudi tena
 
Ahsante nmeokota madini
 
Vitabu vyenyewe ni lazima kuviweka maana vina part ya kujifunza. Point yako ni kwamba ingependeza vikiwa bure au, alafu ukumbuke kitu cha bure huwa kinapuuziwa sana, bora hata mtu akinunua anaweza weka userious
 
Vitabu vyenyewe ni lazima kuviweka maana vina part ya kujifunza. Point yako ni kwamba ingependeza vikiwa bure au, alafu ukumbuke kitu cha bure huwa kinapuuziwa sana, bora hata mtu akinunua anaweza weka userious
Tatizo sio kuuza vitabu, maudhui ya app haiendani na kilichomo..
Badala ya kujikita kuiboresha app iwe ni used friendly amejikuta kwenye pesa kwanza.. download hiyo app playstore kisha uone hata wewe .
Nimedownload hiyo app nimetoa maoni kama mtumiaji na mfutiaji wa app mbalimbali

Aboreshe app ashirikishe watu wengine wampe mawazo kabla haijaweka pubic kuliko aipigie promo mtu a download kisha akute sio nzuri na kuifuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…