Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Targeted customers wako ni kina nani?Insta na influencer lakini sioni matokeo
1. age range
2. jinsia
3. location
4.interest
nijibu hayo kwa usahihi tuanzie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Targeted customers wako ni kina nani?Insta na influencer lakini sioni matokeo
Mkuu sphere ni kiswahili? Mbona kama umeanza kufeli mapema, lakini nikutakie kila heriApp tayari, inaitwa Swahili Sphere. Nilijaribu influencer mmoja akapromote lakini majibu hayakuwa mazuri. Naona kama wabongo hawapendi kujifunza.
Sasa haiendanije ? Mh! Hata kama niushauri, wako haujajitosheleza.Tatizo sio kuuza vitabu, maudhui ya app haiendani na kilichomo..
Badala ya kujikita kuiboresha app iwe ni used friendly amejikuta kwenye pesa kwanza.. download hiyo app playstore kisha uone hata wewe .
Nimedownload hiyo app nimetoa maoni kama mtumiaji na mfutiaji wa app mbalimbali
Aboreshe app ashirikishe watu wengine wampe mawazo kabla haijaweka pubic kuliko aipigie promo mtu a download kisha akute sio nzuri na kuifuta
Niliweka 25+, jinsia nikaweka all, location nikaweka Tanzania, interest nikaweka educationTargeted customers wako ni kina nani?
1. age range
2. jinsia
3. location
4.interest
nijibu hayo kwa usahihi tuanzie hapo
yani wewe kama wewe sio uliyojaza insta nataka wewe kwenye mpango wako uliwaza wateja wako ni watu wa aina gani?Niliweka 25+, jinsia nikaweka all, location nikaweka Tanzania, interest nikaweka education
Kuwa na tovuti ni suala lingineHabari,
Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
Jamii kwa ujumla, maana kujifunza ni kitu endelevuyani wewe kama wewe sio uliyojaza insta nataka wewe kwenye mpango wako uliwaza wateja wako ni watu wa aina gani?
Unamtaji kwanza??Habari,
Nilikua na idea ya kutengeneza tovuti kama udemy au skillshare lakini yenyewe ijikite kwenye kufundisha kwa lugha ya kiswahili. Nimefanikiwa kutegeneza, lakini wateja ndo shughuli. Ningependa kupata mawaidha kutoka kwenu ya nifanyeje ili nianze Pata mauzo.
hili ndo kosa lako na usipobadili mtazamo hautapata matokeoJamii kwa ujumla, maana kujifunza ni kitu endelevu
Okhili ndo kosa lako na usipobadili mtazamo hautapata matokeo
NB:sio kila mtu ni mteja wako
Kiuhalisia ni vigumu mtanzania kulipia kusoma kiswahili ata mimi pia ingeniwia vigumu kulipia au kutumia platform yako. Sasa chakufanya change business model na target customers ambapo unatakiwa kuweka target audience wako wawe ni mataifa mengine hasa ulaya ambapo pia ili wawe na urahisi wa kulipia fanya research uweze ku integrate njia wanazotumia wao mara nyingi kulipia bidhaa mtandaoniNilishafanya people Zina click tu lakini sioni chochote. Nimeshachange Mara kadhaa from ya kuuza tu ya free lakini bado naona mapicha picha