Mbona sipati wateja kwenye tovuti yangu ya Elimu (course website)

Bro jaribu kuwekeza pesa seriously, kama uko serious na unatamani wateja, tengeneza kitu ambacho kitakushawishi hata wewe kukimisi(addiction). Bila hivyo you will only be the user. Pia sababu ni ya elimu, jaribu kuwekeza nguvu nyingi kujifunza namna algorithms zinavyofanya kazi, nowdays social networks ie facebool, youtube wameturahisishia sana
 
App tayari, inaitwa Swahili Sphere. Nilijaribu influencer mmoja akapromote lakini majibu hayakuwa mazuri. Naona kama wabongo hawapendi kujifunza.
Mkuu sphere ni kiswahili? Mbona kama umeanza kufeli mapema, lakini nikutakie kila heri
 
Unao ujuzi ila haujui biashara.

Hamna kisichouzika hata siku moja.

Wateja wapo wengi sana.

Anza kufikiri kama mjasiriamali.

Jifunze biashara na Ujasiriamali kisha ndiyo uendelee kufanya unachokifanya au tafuta watu wenye uelewa mzuri katika biashara watakusaidia.
 
Sasa haiendanije ? Mh! Hata kama niushauri, wako haujajitosheleza.
 
Targeted customers wako ni kina nani?
1. age range
2. jinsia
3. location
4.interest


nijibu hayo kwa usahihi tuanzie hapo
Niliweka 25+, jinsia nikaweka all, location nikaweka Tanzania, interest nikaweka education
 
Niliweka 25+, jinsia nikaweka all, location nikaweka Tanzania, interest nikaweka education
yani wewe kama wewe sio uliyojaza insta nataka wewe kwenye mpango wako uliwaza wateja wako ni watu wa aina gani?
 
Kuwa na tovuti ni suala lingine
Tovuti kukuletea wateja NI suala lingine
Ila usivunjike Moyo hiyo ni hatua umepiga Kwenye hiyo safari yako
Vaa akili ya kijasiriamali Sasa u-forcus Kwenye marketing. Hakuna mashaka utatoboa. Tovuti yako mpaka imfikie unayemlenga kuna process kidogo.
 
Unamtaji kwanza??
Bila pesa hutoboi
 
wabongo na kitu kinachoitw shule..elimu....kusoma aiseeee ni vita kwao

Tena asome mwenyewe online ..ndio vita inazidi kuwa kubwa
 


soma huu uzi hapa ukimaliza chukua karatasi jibu hayo maswali utapata suluhisho, siku hizi tunatumia akili sana nguvu kidogo
 
Nilishafanya people Zina click tu lakini sioni chochote. Nimeshachange Mara kadhaa from ya kuuza tu ya free lakini bado naona mapicha picha
Kiuhalisia ni vigumu mtanzania kulipia kusoma kiswahili ata mimi pia ingeniwia vigumu kulipia au kutumia platform yako. Sasa chakufanya change business model na target customers ambapo unatakiwa kuweka target audience wako wawe ni mataifa mengine hasa ulaya ambapo pia ili wawe na urahisi wa kulipia fanya research uweze ku integrate njia wanazotumia wao mara nyingi kulipia bidhaa mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…