Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Chadema walikuja kwa madaha wakidai kuwa "Sasa Mbowe na Lissu watapanda Chopper moja na kwenda kufanya mikutano Kanda ya Kasikazini.
chaajabu mpaka Sasa ni wiki inakata Lissu haonekani Singida Wala Tanga"
Vipi au mitifuano ndani ya chama Inaendelea?
Nitumie fursa hii kumshauri ndugu Lissu kuwa ahame chadema ahamie CCM, huko chadema anapoteza muda.
After all; Wananchi washamkataa Lissu ndo maana anachangisha watu michango hawataki kumchangia ajue Muda wa siasa zamaneno umepita, watu wanataka siasa za "umefanya nn unategemea kufanya nini".