Pre GE2025 Mbona Tundu Lissu hatumuoni kwenye mikutano ya Mwenyekiti Mbowe?

Pre GE2025 Mbona Tundu Lissu hatumuoni kwenye mikutano ya Mwenyekiti Mbowe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawajapata madaraka wanatibiwa nje ya nchi wakipata madaraka itakuwaje .. watanzania wasome alama za nyakati tusiingie hiki kichaka cha wahuni wanaitwa chadema
Wanamatumiz mabaya Sana ya hela, Yan donation kidogo tu unaanza kuona nchini Hakuna clinic🤣
 
Chadema wana ratiba zao,na yawezekana wamepeana majukumu tofauti katika vipindi tofauti.
Kama una shauku ya kujua kuna nini Chadema waulize makada au viongozi walio maeneo ulipo au labda vist their website.
Tuliambiwa watapanda Chopper moja na Mbowe hyo ratiba imebadirika ln mbona hamjatuzuja
 
Back
Top Bottom